Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,137
Wakuu na wanabodi wa JF, habar za asubuhi.
Natumaini hamjambo nyote.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo, ni week kadhaa sasa zimepita toka nilipo share hapa jukwaani mkasa wangu na landlord, mahala ilipokuepo ofisi yangu nimepanga. (Unawezaa ukapitia hapa hapa) 👇👇👇
Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta
Kiukweli baada yaa hili tukio, niliamua kujipa likizo at the same time nikitafuta namna ya kumalizana na mdeni wangu.
Nashkuru Mungu, niliweza ku sort deni, lakini kiukwel kwa kile kitendo cha kufungiwa ofisi kwangu niliki tafsiri kama unyanyasaji na kukosa uungwana na soon baada ya kukamilisha malipo ya deni la kodi, nika wasilisha barua ya kutoendelea kuwa mpangaji hivyo niruhusiwe kuchua mali zangu na kuhama.
Ki utaratibu, nilipaswa kutoa taarifa hii kwa landlord mwezi mmoja kabla, na kwakua mimi haya yalikua ni maamuzi ya ghafla, nilikiuka hii kanuni, lakini nikaeleza tu kuwa kwa mwenendo wangu wa biashara wa sasa nina was was tutarud kwenye kusumbuana katika masuala ya malipo ya kodi kwakua sitamudu kulipa on time, pia kitendo cha kufungiwa ofisi kwa muda mrefu kimeathiri mwenenso mzima wa biashara yangu hivyo nimebaki kwenye sintofahamu ya narudi vipi katika mzunguko wa kawaida. Hizi ndio sababu kubwa nikazibainisha katika barua yangu.
Msisitizo wa landlord ulikua kwamba, kwakua nimewasilisha takwa la kuhama kinyume na utaratibu(nje ya muda niliopaswa kufanya hivyo), yeye hataniruhusu na nimpe tena kodi nyingine ya miezi mi 3, over 2 milions, sambamba na barua kwa maana ya kwamba baada ya miezi hiyo kuisha nitakua huru kuhama.
Baada ya mlolongo mrefu mapaka kufikia hatua ya kutaka kupelekana mahakamani, hatimae suluhu ikapatikana na nimepewa rasmi notice ya kuhama kabla ya July 01.
CHANGAMOTO YA PILI
Nikatafakari, nahama hapa, naelekea wapi? Sikua nimepata ofisi nyingine japo nilikua katika kutafuta sana. Pigia sana madalali na kutafuta online.
Vikwazi ni kwamba, ofisi nayoipata aidha ni too expensive au location sio convincing au yote kwa pamoja. Time inazid kwenda. Basi bwana nikawa naendelea kupambana huku na kule kuhakikisha jambo langu linakaa sawa.
Bwana wee, dakika za mwisho kabisa ndio namkumbuka mwanadada mmoja mshkaji wangu tumejuana humu humu, nikampandia hewana nikazungumza nae kwa kina. Akanambia nipe dakika 5. Kweli after 5 minutes akani text, akanambia mchek huyo mtu nimekuoa nimekutumia namba yake, atakusaidia.
Baada nikamchek, akanambia njoo around makumbusho, nikafika, akanipeleka mahala flan zinapangishwa ofisi, akaniunganisha na landlord.
Aisee yani mchezo ukaisha kirahisiii vile sikutegemea. Yan ni kirahisi mnoo.
Kwanza location iko katika prime location, pazuri, mashuhuri panafikika mitaa hiyo hiyo ya makumbusho.
Pili, it was a friendship thing, hakuna dalali wala shi 10 ya kumlipa dalali.
Tatu, space niliopata ni almost mara 2 ya kule nilikotoka.
Mwisho, gharama ya kodi kwa mwezi ni chini ya nusu ya gharama ya kule ambako natoka. Yaan kodi ya kule ya mwezi mmoja, huku nalipa miezi miwili na chenji inabadi kama 60k hiv.
So kodi ya kiezi mi 3 kule, huku nalipa miezi 6. Ya miezi 6 kule huku nalipa mwaka! Nilishangaa sanaa.
Ikawa imeisha hivyo yani.
Kweli, ongea na watu, uvae viatu.