Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
Hata siku moja usiwe mwepesi kukata tamaaa kiasi hicho,weka bidii katika kutafuta na si kulalamika,usibase sana kutafuta serikalini ndg yangu hata privet omba kuwa hata intern au volunteer watu wanaanza chini kabisa mwsho wa siku utatoka, Nina Experience na hiyo situation nlisota mwaka miaka miwili bila ajira ,nlizunguka na bahasha viatu vikaisha,nkaahamia mjini kutafuta hatimaye nkafanikiwa,nimeajiriwa na nimefanikiwa kujiajiri na nimeajiri ndani ya miezi sita tangu nmeajiriwa,nia na dhamira yako ya kutaka mafanikio ndio itakubidiiisha kutafuta zaidi,MtangulizeMungu kwa kila unachofanya,ongea na wasiliana na watu au hata ndugu ulopotezana nao mda mrefu ili kuongeza channel,Naimani ipo siku utafanikiwa at the right time at the moment,Nakubariki katika hilo na Nakuombea vile vile ufanikiwe.Amina
Kama kweli unawaza kujiajiri.. Lakini bado hujuhi ni kwa jinsi gani utaanza... Kama upo Dsm, panda gari hadi mikocheni b, shuka hapo... Ulizia shule ya msingi ushindi.. Ukifika hapo ulizia ilipo ofisi ya dot.... Mtaa ambapl ipo hospital ya tindwa... They will help you. Ukitaka maelezo zaidi ni pmNajitahidi sana kutuma maombi ya kazi kila uchao lakini mpaka sasa sijabahatika kupata ajira ya kunisaidia kuendesha maisha yangu.
Haipiti siku bila kupitia website ya utumishi kuona kama kuna ajira mpya wametangaza.Nimekua muudhuriaji mzuri wa interview zao na mwaka jana nilifanikiwa kuingia mpaka stage ya oral interview lakini walipokuja kuita watu kazini sikuweza kuliona jina langu.
Nawaza kujiajiri lakini tatizo sina mtaji wa kuniwezesha kuanzisha biashara ambayo itanisaidia kusukuma maisha.Umri nao unazidi kwenda yani nachanganyikiwa kupita maelezo.Kuna wakati huwa nawazaaaa bila kupata majibu.
Muheshimiwa Magufuli tunajua uko bize katika kuliweka taifa katika mstari ulionyooka ila tukumbuke na sisi watoto wa wakulima ambao hatuna pakushika na tuna familia zinatutazama.
Kama kuna yoyote ambae amebahatika kupata ajira iwe serikalini au sekta binafsi nakusihi heshimu sana ajira yako mana unaweza ukaidharau lakini kuna mwenzako yupo mtaani hajui lini atapata ajira.
Pole mkuu, nashauri tujitahidi kufanya jitihada za kujiajiri wenyewe, tunazo fursa nyingi sana lakini bado hatujazitumia, japo natambua kuwa changamoto kubwa ni mitaji.Najitahidi sana kutuma maombi ya kazi kila uchao lakini mpaka sasa sijabahatika kupata ajira ya kunisaidia kuendesha maisha yangu.
Haipiti siku bila kupitia website ya utumishi kuona kama kuna ajira mpya wametangaza.Nimekua muudhuriaji mzuri wa interview zao na mwaka jana nilifanikiwa kuingia mpaka stage ya oral interview lakini walipokuja kuita watu kazini sikuweza kuliona jina langu.
Nawaza kujiajiri lakini tatizo sina mtaji wa kuniwezesha kuanzisha biashara ambayo itanisaidia kusukuma maisha.Umri nao unazidi kwenda yani nachanganyikiwa kupita maelezo.Kuna wakati huwa nawazaaaa bila kupata majibu.
Muheshimiwa Magufuli tunajua uko bize katika kuliweka taifa katika mstari ulionyooka ila tukumbuke na sisi watoto wa wakulima ambao hatuna pakushika na tuna familia zinatutazama.
Kama kuna yoyote ambae amebahatika kupata ajira iwe serikalini au sekta binafsi nakusihi heshimu sana ajira yako mana unaweza ukaidharau lakini kuna mwenzako yupo mtaani hajui lini atapata ajira.
Changamoto kubwa kwa vijana ni jicho bovu la kuona fursa na pia UTHUBUTU ni zero. Tatizo la mtaji sio la msingi sana. Mtu unaweza jipinda ukapata laki 5 au hata 1M ila bado wanashindwa kufanya kitu. Pia hofu ya kupata hasara na kupoteza mtaji imetanda, UTHUBUTU ni ishu.Pole mkuu, nashauri tujitahidi kufanya jitihada za kujiajiri wenyewe, tunazo fursa nyingi sana lakini bado hatujazitumia, japo natambua kuwa changamoto kubwa ni mitaji.
Karibu sana mtaaani,maisha ya chuo na mtaani ni tofauti kabisa,hiii ndo fieldNilijua nikimaliza chuo tu naajiriwa kumbe mambo yenyewe ndio hiv daaa aiseee
Yaan nafanya kazi ambazo hata sikuzisomeaKaribu sana mtaaani,maisha ya chuo na mtaani ni tofauti kabisa,hiii ndo field
Wasipokuelewa ndo basi tenaChangamoto kubwa kwa vijana ni jicho bovu la kuona fursa na pia UTHUBUTU ni zero. Tatizo la mtaji sio la msingi sana. Mtu unaweza jipinda ukapata laki 5 au hata 1M ila bado wanashindwa kufanya kitu. Pia hofu ya kupata hasara na kupoteza mtaji imetanda, UTHUBUTU ni ishu.
1.Angalia marafiki/ndugu ulio nao karibu ni wa aina ganiNajitahidi sana kutuma maombi ya kazi kila uchao lakini mpaka sasa sijabahatika kupata ajira ya kunisaidia kuendesha maisha yangu.