Nimejikuta siteseki kabisa kumbe bwana nakula “MTAJI”

Kwamba unajikuta ukitaka ka Pepsi twendeeeeee, ukitamani ka hindi ka kuchoma kituoni aaaah twende, ukishuka kwenye daladala ukisikia kale ka harufu ka kuku wa kuchoma na utumbo umevingirishwa kwenye filigisi hujiulizi mara mbili.....

Kushtuka balansi haisomi siku ya kujumua mzigo
 
Hahahaha Umesahau na vimishkaki vya miambili miambili
 
Daaah haya maisha aiseeh, ndio maana kuna msemo usemao “PONDA RAHA KUFA KWAJA”
Sasa nimejikuta SITESEKI kabisa zaidi ya miezi 2 kumbe bwana nakula “MTAJI” 🥺
😆😆😆😆JF raha sana.

Juzi ofsini kuna prof kaja analalamika kapiga pombe za kutosha weekend amekata laki tatu per night.

Kila unapona unakula raha ujue unateketeza mali.
 
Back
Top Bottom