Nimejaribu kwenda website ya Bunge letu tukufu leo

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,641
2,484
Haya ndo matokeo.
1733973116712.png
 
serikali wanamtindo wakubadilibadili ma website yao muda mwengine!, halafu mpk kuja kuipata mh!.
mfano no za nida zinazoonekana kwenye site ya nida utapiga hazipatikani nyengine zipo busy kumbe walishabadili sasa kuzipata hizo walizobadili utakoma ukomae...🤣

Ma IT wao sijui wanatumia tunini ama ni wadau wa mjani nini...🤣
 
Na nyingine ni za marehemu ila bado zipo kwenye site yao
 
Back
Top Bottom