Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
mwambie ukweli mme wake ili amsamehe mkewe kuwa ulifichwa na huyo dada kama ameolewa
Hahahhh Bonny niache sasa huyo dada kwa nn amdanganye mwenzie kama ameolewa anataka kumtafutia mwenzie matatizo tuFundi nakuona ndio mlivyofundwa enhee
Sasa hapo utakuwa umemsaidia au umewasambaratisha kabisa?mwambie ukweli mme wake ili amsamehe mkewe kuwa ulifichwa na huyo dada kama ameolewa
Sijaoa mkuuJe wewe umeoa
unaomba ushauri kwa uharibifu huo uliofanya?ushaur gani unataka kupewa na jibu unalijua?Muoe wewe sasa kama anaachwa ili na wewe wamvue chu...pii!Wadau habari zenu,naomba mniambie hapa mwenye kosa ni nani
Ni kwamba siku moja nipo kwenye daladala natoka kwenye mishe zangu nkakutana na mtoto kwenye gari nikaomba namba after 2 days nikamtia vocal akakubali tukaanza mapenzi,lkini Kumbe Yule Binti kaolewa Mme wake kashtukia kama nachat nae akaanza visa kwa mke wake na kunitafuta mm ,nikamwambia mi naishi mbeya na huyo mke wako sifahamu nlikosea tu namba ,jamaa hakuelewa akamnyang'anya simu Yule mke was na kumwachisha kazi ya kuuza duka mjini na ndoa yao ipo katika migogoro ,wakati Yule demu mi nlishampiga chini lakini jamaa hamwamini tena mke wake kila siku ugomvi huyo demu ananitafuta siku moja moja kunipa taarifa kinachoendelea na anadai kamchoka mshikaji anataka kurudi kwao ,Sasa naona kama nimeharibu ndoa ya watu nifanyaje jamani ili mdada wa watu aendelee na ndoa yake??
Ukweli unasaidia na kumuweka mtu huru, na huyo dada si ameshamwambia amemchoka mumewe.Sasa hapo utakuwa umemsaidia au umewasambaratisha kabisa?
Wee jione mjanja leo kwa jamaa kesho kwako.View attachment 469277
Hahahhh Bonny niache sasa huyo dada kwa nn amdanganye mwenzie kama ameolewa anataka kumtafutia mwenzie matatizo tu
Nimekumbuka mama muuza chakulaUnafikir kusema ukwel shuhul
Ndogo bora angesema mie muuza nguo namdai mkeo alikuja kukopa dukan kwangu
Hapo bora ufanye kama yule jamaa wa musomaWadau habari zenu,naomba mniambie hapa mwenye kosa ni nani
Ni kwamba siku moja nipo kwenye daladala natoka kwenye mishe zangu nkakutana na mtoto kwenye gari nikaomba namba after 2 days nikamtia vocal akakubali tukaanza mapenzi,lkini Kumbe Yule Binti kaolewa Mme wake kashtukia kama nachat nae akaanza visa kwa mke wake na kunitafuta mm ,nikamwambia mi naishi mbeya na huyo mke wako sifahamu nlikosea tu namba ,jamaa hakuelewa akamnyang'anya simu Yule mke was na kumwachisha kazi ya kuuza duka mjini na ndoa yao ipo katika migogoro ,wakati Yule demu mi nlishampiga chini lakini jamaa hamwamini tena mke wake kila siku ugomvi huyo demu ananitafuta siku moja moja kunipa taarifa kinachoendelea na anadai kamchoka mshikaji anataka kurudi kwao ,Sasa naona kama nimeharibu ndoa ya watu nifanyaje jamani ili mdada wa watu aendelee na ndoa yake??
Usingekuepo huku sjui
Nimekumbuka mama muuza chakula