Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,601
- 4,576
Binafsi si mwanachadema ila kipindi hiki nimefuatilia michakato ya chadema kuliko wakati mwingine wowote.
Moja ya suala lililonifikirisha ni jinsi gani hawa vijana wadogo wanavyokuwa damaged na mambo yanayotokea hasa kijana Deogratius Mahinyila alipotaja kuwa alikuwa mwanasheria wa Deusdedith Soka . Nilimwangalia hasa alivyo kijana mdogo na niliishia kuumia hadi kutokwa na machozi nikiwaza kapitia kipindi kigumu kiasi gani na vijana wenzake wanaotokea kuwa karibu na hawa wahanga. Tujitafakari kama nchi.
Suala la pili lililonigusa na kuniumiza moyo. Katika kujinadi nilisikia kijana mmoja sina kumbukumbu jina lake .akiwa anajinadi aliweza kusema kuwa sisi vijana wa chadema hatuajiriki . Na si hivyo tu hata tukuset up biashara huwa tunakutana na changamoto nyingi sana .
Haya mambo mawili yanenipa wakati mgumu sana hadi leo . Hawa ni vijana wa Taifa kama wengine wowote. Hawastahili kukutana na haya hasa nikiwaangalia walivyo na ndoto kama kijana mwingine yeyote. Kama taifa tunahitaji kujitafakari na kufanya jambo juu ya makundi yanayofanya opposition parties hasa hawa vijana wadogo wasijisikie kiwa sidelined na tufikirie trauma wanayopitia wanapotekwa vijana wenzao.