Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

aliyetegwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
321
528
Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu

Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.

IMG_20250422_235958.jpg
 
Nani huyo kwanza, toa ufafanuzi kidogo ili wachambuzi tuchambue vizuri
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu

Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.

View attachment 3312682
Kwa ukwepaji huo wa vipimo nakushauri muamshe mkapime muda huu huu. Tena mstue na mchepuko naye aje muambatane naye.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu

Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.

View attachment 3312682
Dah comrade kashaaribu huyu alikwepa vikao anahifadhi meseji za mchepuko 😬😬

Man dow man down 😬

Over
 
Ni mme wangu kabisa, nifanye Nini?
Mimi nakushauri subiri kesho kaa nae chini zungumza nae muyamalize mumeo anakupenda ndio maana kuweka ndani na magume gume anayala lodge.

Dada wanaume wote tuko hivyo hakuna mwanaume asie na makando kando sema tu ni akili ya kujilinda na kujisafisha aliyokosa mumeo kuingia ndani kwako bila kufuta meseji za mchepuko

Amini kwamba sisi wengine hatukamatwi sababu tu ni bahati na ni ujanja tuu ila wanaume wote ni wapigaji nje
wewe pekee huna uwezo wa kumridhisha mwanaume ila amini kwamba ww ni bora kwake ndio maana kakuweka ndani pili ww ni bora kwake kuliko hao magumegume wa nje.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu

Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini?
Ukiona manyoa ujue ashaliwa.

View attachment 3312682
Usitayafute matatizo acha yaje yenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom