Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,082
- 12,470
Naelewa tabu zimekuwa nyingi,
ILA,
Kwa hio Mungu ametuma manabii wenye miujiza mikuu waende Dar tu?
Kwa hio kutanguliza sadaka kabla hamjaombewa bado hamjaona kuwa ni shughuli ya kiuchumi ndio anafanya? Toa pesa, Pata huduma
"Mungu wa mahala hapa ndio wa kweli" "Mungu wa nabii so and so" . Hizi kauli, hata mtoto wa form 1 lazima ajiulize.
Nioneshe scripture ilio muonesha Yesu, Paulo, etc anachangisha pesa ili watu waonane nae personally ili wajipatie uponyaji kwa kigezo cha kutanguliza sadaka mara ku-finance huduma.
UKWELI NI KUWA,
WEWE NA YULE ALIENDA KWA SANGOMA TANGA MKO KUNDI MOJA, HASWAAAAA.