Nimegundua hata wakiungana ni vigumu mno kuishinda CCM-2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
22,544
23,919
Mfano, kura halali pekee;

CCM wakapata 51%

CHADEMA wakapata 32%

ACT wazalendo wakapata 5%

CUF wakapata 3%

NCCR-Mageuzi wakapata 2%

vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%

Nilihisi wakiungana wataishinda CCM kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
 
Mfano, kura halali pekee;

ccm wakapata 51%

chadema wakapata 32%

ACT wazalendo wakapata 5%

CUF wakapata 3%

Nccr-Mageuzi wakapata 2%

vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%

nilihisi wakiungana wataishinda ccm kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Uchaguzi upi huo??😂😂😂
Unaweza kuonesha mchanganuo kituo kwa kituo??
Unaweza kuweka link🔗 kila mtu afuatilie??
 
Mfano, kura halali pekee;

ccm wakapata 51%

chadema wakapata 32%

ACT wazalendo wakapata 5%

CUF wakapata 3%

Nccr-Mageuzi wakapata 2%

vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%

nilihisi wakiungana wataishinda ccm kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Uwezekano wa CCM kupata kura 50%+ kihalali nchi hii ulishaondoka na kizazi cha wazee. Unapoona wanapora na kunajisi chaguzi sio bahati mbaya, bali matokeo ya halali hayawabebi.

Mfano halisi mwezi huu huko Mbarali kuna uchaguzi mdogo wa marudio ya uchaguzi wa mbunge. CDM wamejitoa huku vyama vingi vikiwa vinashiriki na CCM ikiwemo. Uchaguzi umekosa mvuto hadi hakuna anayejua kama kuna uchaguzi wa mbunge. Iwapo CCM ingekuwa mvuto wa hivyo leo hii kila mtu angejua kuna uchaguzi wa mbunge mwezi huu.
 
Kwann umewaza mfano CCM wanapata 51% na si chadema wanapata 53%

Yaani ni kigezo gani umetumia kuwaza hivyo?

Anyways, we cha kuwaza Ni kuwa na uchaguzi huru tu mkuu, we waza uchaguzi uwe huru alafu polizei watulie wasitumike alafu kina jecha wamuogope Mungu, hivyo tu yaani
 
Mfano, kura halali pekee;

ccm wakapata 51%

chadema wakapata 32%

ACT wazalendo wakapata 5%

CUF wakapata 3%

Nccr-Mageuzi wakapata 2%

vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%

nilihisi wakiungana wataishinda ccm kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
huu ni ukweli mchungu, lakini ndio ukweli, tumeisha washauri kwa uchaguzi wa 2025 upinzani u focus kwenye serikali za mitaa, udiwani na ubunge, kwenye urais 2025 ni CCM, kwenye urais upinzani ujipange kwa 2030!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
sure, 2030 itakua ni mwanzo wa mwisho wa CCM hii nakubaliana na wew kabsaa..

but wakijirekebisha na kujisahihisha hapa katikati, watadumu mno.

hawa wengine uhasama, ubinafsi na uchu wa madaraka miongoni mwao utakua umekomaa na kuwasabaratisha zaidi.
 
Kwann umewaza mfano CCM wanapata 51% na si chadema wanapata 53%

Yaani ni kigezo gani umetumia kuwaza hivyo?

Anyways, we cha kuwaza Ni kuwa na uchaguzi huru tu mkuu, we waza uchaguzi uwe huru alafu polizei watulie wasitumike alafu kina jecha wamuogope Mungu, hivyo tu yaani
Jecha ashakufa.
 
huu ni ukweli mchungu, lakini ndio ukweli, tumeisha washauri kwa uchaguzi wa 2025 upinzani u focus kwenye serikali za mitaa, udiwani na ubunge, kwenye urais 2025 ni CCM, kwenye urais upinzani ujipange kwa 2030!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Huwa nashangaa sana eti hili bumunda Paschal nalo eti limesoma Ilboru shule ya vipaji labda kama alitumia jina la mtu.
Watu walio soma shule za vipaji kama Tundu Lissu tunaona mchango wao chanya kwa jamii.
 
Mfano, kura halali pekee;

CCM wakapata 51%

CHADEMA wakapata 32%

ACT wazalendo wakapata 5%

CUF wakapata 3%

NCCR-Mageuzi wakapata 2%

vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%

Nilihisi wakiungana wataishinda CCM kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Kumbe unazungumza mfano, baki na mfano siku zenu zaja
 
Mfano, kura halali pekee;

CCM wakapata 51%

CHADEMA wakapata 32%

ACT wazalendo wakapata 5%

CUF wakapata 3%

NCCR-Mageuzi wakapata 2%

vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%

Nilihisi wakiungana wataishinda CCM kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Sasa mbona mnaogopa katiba mpya itokanayo na wananchi na tume huru ya uchaguzi?

Kama una uhakika huo kwanini huogope tume huru ya uchaguzi? Machawa bwana nyie mnabebwa kwa mbeleko tu ya polisiccm and companies
 
Wenzenu wanapata ruzuku kwakuwapa kura nyingi nyie mnaishia kupiga kelele mitaani politics is crazy business
 
Back
Top Bottom