Nimegundua hata kuku (majogoo) yanapenda mitetea minene iliyojazia

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
5,521
11,273
Ukatae au ukubali asee huu ndio ukweli. Nasema kwa sababu ya uzoefu wangu kama mfugaji wa muda mrefu.

Nimefanya tafiti kadhaa kuhusu hili na nimegundua ndivyo ilivyo.

Jogoo hupenda kutembea na majike (makoo) manene ya kuku ni nadra sana kumkuta jogoo kaambatana na kimbau mbau kisichokuwa na minofu ya kutosha.

Nafuga kuku wa kienyeji na chotara mara nyingi hawa chotara wanakuwa ni wanene sana ukilinganisha na kienyeji. Lakini mara nyingi majogoo ya kienyeji huwaacha mitetea ya kienyeji na kuambatana na chotara (sasso)

Nahitimisha Kwa kusema were the same same😂😂🤐

 
Umalaya Tu 🤣🤣🤣🤣
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…