KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 9,240
- 18,410
Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment, nayaona mambo ambayo wengine hawayaoni, nayaona dhahiri.
Ni hivi ni kwamba kwenye past life yangu nilikuwa ni nyoka. Kwa sasa kwenye ubinadamu wangu huu, mimi ni nyota ya samaki.
Watu wa samaki ni watu wa rohoni sana na wanaishi maisha ya tofauti sana na watu wengi.
Wengi hamjui kwenye past life zenu mlikuwa ni nani, ila siku ukijua na ukajitambua, itakusaidia sana kujua kusidi lako la maisha.