Nimefurahishwa sana na Rais wa Angola kumtuma Waziri kumpokea Rais Biden wa Marekani

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
13,851
31,006
U.S. President Joe Biden arrived in Luanda Monday and was welcomed by Angola foreign minister Tete Antonio on an official state visit to the southern African nation.

This is the first visit by a sitting U.S. president to the oil-producing country. The U.S. President will focus on continuing investment on the Lobito Corridor, a transnational rail line connecting Angola, DRC, Tanzania, and Zambia.

(Reuters/VOA)

 
Kila nchi ina protocol zake....
 
Hata hapa wamempendelea ilibidi tu apokelewe na MABULULU 😁😁😁😁😁😁😁
 
Angekuwa wa kwetu wangelundikana wote na suit zao wangezipeleka kunyooshwa ulaya ili kumpokea mgeni.pia na kufagia barabara kama alivyofanya kikwete kipindi Obama anakuja
Chura kiziwi ange enda uwanjani masaa matatu kabla
 
Inaonekana Rmrais wa Angila kapiga hesabu kaona Biden ni lame duck president. Urais wake unaisha January 20. Rais Trump atakuwa na ushawishi sana kwenda mbele.

Kaona ai downplay visit ya Biden na kujioanga kufanya kazi na Trump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…