Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!
Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui
Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!
Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!