mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,240
- 1,794
kuna jamaa kaniuliza kuhusu software inayoweza kubadili video kuwa audio, huyu jamaa anajiita EINSTEIN112 kwa hiyo nimeona nifungue huu uzi hapa. Kwa kuwa kule kulikuwa na uzi unaohusu mambo mengine. Karibu we jamaa.
Ndugu,
Nafikiri kuna software kibao ziko sokoni kwa ajili ya kazi hiyo. Lakini tusisumbuke sana, embu tubadili video kuwa audio kwa kutumia VLC MEDIA PLAYER kama ifuatavyo.
Itatokea pop up window nyingine chagua audio format yaani mp3, kisha kwenye destination file weka jina litakalotumika na sehemu utakayo save na mwisho gonga start, ni sekunde tu audio file litaseviwa tayari kwa kusikiliza.
cheki snap hapa
Nafikiri nimemaliza maswali ya ziada kama yapo sawa.
Ndugu,
Nafikiri kuna software kibao ziko sokoni kwa ajili ya kazi hiyo. Lakini tusisumbuke sana, embu tubadili video kuwa audio kwa kutumia VLC MEDIA PLAYER kama ifuatavyo.
- Fungua vlc media player, katika menu gonga "media" juu kushoto, kisha kutatokea pop menu nyingine shuka chini kabisa gonga "convert/save".
- -
- Baada ya hapo itatokea pop up window kama hii, na utagonga sehemu iliyoandikwa add.
- Kisha chagua video utakayo taka kubadili.