Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 793
- 1,951
The first day nimeanza kazi I knew he was the right guy for me, he is smart, intelligent, wise and successful. Yaani I couldn’t help myself nikamwambia ukweli kuwa am in love with you boss. He smiled and akanambia that will never work out, I was really hurt.
But cha kushangaza tangu nimemwambia amezidisha kuwa caring and treating me like a queen, so nikaelewa huyu he likes me too ila anaogopa mazingira ya kazi. He hugs me, touches me and kisses me but hataki relationship.
So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay with it and I won’t ruin your relationship, he is just blushing and asking me kweli upo single? Namjibu ndio but haamini.
Yaani I wish one day ni have sex nae

.
Naombeni ushauri niachane nae nimpotezee au niendelee hivyo hivyo?