BONGO 3D
Member
- Jul 25, 2022
- 25
- 23
Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu
Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la simba na kocha wa pirates, aliandika yake nikayapuuza lakini kuna trend nimejaribu leo kuuunganisha dots ni kwamba Barbara anazungukwa sana simba na wabongo pamoja na wageni anaowaajiri
Kuna issue ya yeye kupenda sana makocha wazungu,mwaka huu tulisikia fununu ya kocha m ghana au yule wa horoya tukasema afadhali ...badala yake kaletwa mzungu KAPEWA MKATABA HEAVY wa mwaka mwaka mmoja kufikisha team nusu fainali CAF kwa maoni yangu tayari keshaingiwa uoga atafanya kila fyongo awezalo afukuzwe yeye na mzungu mwenzake wafidiwe
Makocha wa kizungu wanafiki sana, kuanzia uchebe ambaye leo anahangaika na team inayohangaika hata kumlipa mshahara huko kenya,kishingo,pablo, Gomez,Damon kocha wa makipa msouth africa, wote wamemwaga sana siri za simba kwa huyo m south africa ambaye ni rafiki pia wa senzo
na kuna wabongo pia wanamwaga sana ubuyu kwa huyo jamaa ambaye bila shaka mengineyo anayafikisha upande wa pili kiulaini
Kumbuka yule"meneja wa kagere"mnyarwanda alisema Gomez alikuwa analalamika kuhusu simba na kutoa siri za ndani huku akimuomba jamaa amuunganishie kazi team ya taifa ya rwanda?
Pablo ile picha yake na Morrison baada ya BM3 kutupiwa virago simba unahisi nini kilikuwa kinaongelewa, tena pablo ndo amekaa ana sura ya kiumbeya zaidi
Huyu wa sasa ndiye atavunja rekodi siku akitimuliwa atatapika nyongo siyo la nchii hii na ninahisi itakuwa mwisho wa Barbara kushobokea wazungu
Nasema tu kwa uchungu kama mwanasimba otherwise naomba tufanikiwe tu mwaka huu ingawa kimakusudi wamekataa kununua kiungo mkabaji wa kuelewekeka na striker mnyumbulikaji, wakafanya madudu wanayoyajua wao