Nimechanjwa chale

lyoni

Member
Feb 23, 2016
34
16
Naomba kujuzwa nini hasa sababu ya kujikuta umechanjwa chale unapoamka asubuhi. Jambo hili limenipata hivi majuzi.

Nimechanjwa chale mbili mkono wa kushoto karibu na begani. Moja ya chale hizo imeenda ndani zaidi. Zimelala sambamba.

Wajuvi wa mambo naomba msaada. Ni hasa sababu na umuhimu wake. Kuna madhara yoyote? Je, kuna yeyote humu aliyechanjwa kimazingara?

Ni sehemu zipi hasa za mwili ambazo wengi huchajwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…