Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 16,345
- 34,636
Masheigh wataita majiniDuniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki.
Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki.
Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni rasmi agenda hii imekuwa rasmi Agenda ya Watanzania.
Kwa utafiti wangu mdogo niliyoufanya kuhusu maoni ya Wananchi tena wa kawaida kabisa, almost asilimia 98 wanakubali kuwa Chaguzi za Nchi yetu ni mazingaombwe na zinahitaji mabadiliko makubwa ili zifanywe kuwa huru na za haki. Ambapo tutapata viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi ili kuwapatia maendeleo ya kweli.
No Reform No Election sio ajenda ya CHADEMA. Ni ajenda ya Watanzania wote wanaoipenda kweli nchi yao na kuiwazia mema.
Nikiwa najiandaa na pasaka, macho yangu yote nayaelekeza kwa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.
Kutokana na historia ya Kanisa Katoliki kupigania tawala za Haki duniani, naamini hawatawaangusha Tanzania.
Nategemea waraka mzito kutoka TEC, ambao utatengeneza a new road map kuelekea kuipatia Tanzania mabadiliko ya kweli.
Nategemea Waraka utakaosema Maaskofu Katoliki na Mapadre wako tayari kuunga mkono maandamano ya amani kudai Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuipatia nchi yetu mifumo itakayowezesha tupate viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi.
Nategemea baada ya Waraka wa TEC, Tutapata waraka kama huo pia kutoka KKKT.
Nategemea watu wa Mungu kweli, Watafanya jambo la maana mwaka huu na Tanzani tutaenda kupata Mabadiliko ya Kweli.
Mungu ibariki Tanzania.
Kweli kabisaTaifa letu lina mimba kubwa hivyo tujiandae kwaajili ya uzazi
Achana na Bakwata. Kuna Waislam wanaojielewa Shura ya Maimamu. Wanatosha sana wakiungana na wanaotaka mabadiliko ya kweli ili kulikomboa Taifa letu dhidi ya madhalimu CCM.Masheigh wataita majini
#NO REFORMS NO ELECTIONDuniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki.
Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki.
Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni rasmi agenda hii imekuwa rasmi Agenda ya Watanzania.
Kwa utafiti wangu mdogo niliyoufanya kuhusu maoni ya Wananchi tena wa kawaida kabisa, almost asilimia 98 wanakubali kuwa Chaguzi za Nchi yetu ni mazingaombwe na zinahitaji mabadiliko makubwa ili zifanywe kuwa huru na za haki. Ambapo tutapata viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi ili kuwapatia maendeleo ya kweli.
No Reform No Election sio ajenda ya CHADEMA. Ni ajenda ya Watanzania wote wanaoipenda kweli nchi yao na kuiwazia mema.
Nikiwa najiandaa na pasaka, macho yangu yote nayaelekeza kwa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.
Kutokana na historia ya Kanisa Katoliki kupigania tawala za Haki duniani, naamini hawatawaangusha Watanzania.
Nategemea waraka mzito kutoka TEC, ambao utatengeneza a new road map kuelekea kuipatia Tanzania mabadiliko ya kweli.
Nategemea Waraka utakaosema Maaskofu Katoliki na Mapadre wako tayari kuunga mkono maandamano ya amani kudai Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuipatia nchi yetu mifumo itakayowezesha tupate viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi.
Nategemea baada ya Waraka wa TEC, Tutapata waraka kama huo pia kutoka KKKT.
Nategemea watu wa Mungu kweli, Watafanya jambo la maana mwaka huu na Tanzani tutaenda kupata Mabadiliko ya Kweli.
Mungu ibariki Tanzania.
Pasaka hii inabidi TEC watupe zawadi Watanzania ambayo hatujawahi kuipata tangu nchi hii ipate uhuru.Uzuri wa TEC huwa hawapepesi macho wala kumuonea mtu aibu! Siku zote huwa wanasimama kwenye ukweli.
Kiufupi wako tofauti sana na Bakwata ambao walenyewe wakipigwa tu sahani za ubwabwa au futari, wanapindisha ukweli na pia kujitoa ufahamu.
I wish Shura ya Maimamu ndiyo wangekuwa wawakilishi halali wa Waislam nchini. Maana na wenyewe wana tabia kama ya TEC, ya kusimama kwenye haki na pia ukweli.
Hakika#NO REFORMS NO ELECTION
Hawezi kuwatisha TEC na hawezi kuwafanya lolote Maaskofu na Mapadre wakiamua kuongoza maandamano ya Kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.Mama ameanza kuwatisha Viongozi wa Dini mapema kwa kupiga mkwala mbuzi siku ya Iddi.
Waraka wa TEC tunausubiri kwa hamu sana.
Na hakuna Padri au askofu wa juu sio mtu wa bawaniHawezi kuwatisha TEC na hawezi kuwafanya lolote Maaskofu na Mapadre wakiamua kuongoza maandamano ya Kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Mark my words! Nchi hii hakuna, hajatokea na hatatokea Askari au Mwanajeshi atakayekuja kujaribu kumpiga au kumkamata Askofu au Padre anaeongoza maandamano ya Amani.
Kwani kuna Waraka gani wa TEC uliwahi kubadilisha chochote nchi hii? Semeni tu, Lissu pumzi imeisha sasa hivi mnafikiri TEC itawasaidia! Ahahahahaha!!Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki.
Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki.
Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni rasmi agenda hii imekuwa rasmi Agenda ya Watanzania.
Kwa utafiti wangu mdogo niliyoufanya kuhusu maoni ya Wananchi tena wa kawaida kabisa, almost asilimia 98 wanakubali kuwa Chaguzi za Nchi yetu ni mazingaombwe na zinahitaji mabadiliko makubwa ili zifanywe kuwa huru na za haki. Ambapo tutapata viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi ili kuwapatia maendeleo ya kweli.
No Reform No Election sio ajenda ya CHADEMA. Ni ajenda ya Watanzania wote wanaoipenda kweli nchi yao na kuiwazia mema.
Nikiwa najiandaa na pasaka, macho yangu yote nayaelekeza kwa Baraza la Maaskofu Katoliki TEC.
Kutokana na historia ya Kanisa Katoliki kupigania tawala za Haki duniani, naamini hawatawaangusha Watanzania.
Nategemea waraka mzito kutoka TEC, ambao utatengeneza a new road map kuelekea kuipatia Tanzania mabadiliko ya kweli.
Nategemea Waraka utakaosema Maaskofu Katoliki na Mapadre wako tayari kuunga mkono maandamano ya amani kudai Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi ili kuipatia nchi yetu mifumo itakayowezesha tupate viongozi wazuri wanaowajibika kweli kwa Wananchi.
Nategemea baada ya Waraka wa TEC, Tutapata waraka kama huo pia kutoka KKKT.
Nategemea watu wa Mungu kweli, Watafanya jambo la maana mwaka huu na Tanzani tutaenda kupata Mabadiliko ya Kweli.
Mungu ibariki Tanzania.
Subiri uone tofauti ya nyaraka zilizopita na nyaraka ya mwaka huu!Kwani kuna Waraka gani wa TEC uliwahi kubadilisha chochote nchi hii? Semeni tu, Lissu pumzi imeisha sasa hivi mnafikiri TEC itawasaidia! Ahahahahaha!!
Nimekuiliza, lini Waraka wa TEC uliishawahi kuitisha CCM au Serikali? Na kwa taarifa Waraka za TEC ni nyingi mno! Labda hujui tu!Subiri uone tofauti ya nyaraka zilizopita na nyaraka ya mwaka huu!
Watanzania maombi yetu ni haya tu;
"Maaskofu na Mapadre wa Kanisa Katoliki Tanzania watoe waraka wa kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi na endapo mamlaka zikidharau basement wanaunga mkono na watashiriki maandamano ya amani ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya"
Then subiri uone matokeo yake.
Asante kuliona hilo,hata sisi tusiokuwa na vyama hii hoja tumeielewa sana.No Reform No Election sio ajenda ya CHADEMA. Ni ajenda ya Watanzania wote wanaoipenda kweli nchi yao na kuiwazia mema.
Ukisoma maoni ya Watanzania kwenye platforms mbalimbali utajua tu wameielewa sana hii agendaAsante kuliona hilo,hata sisi tusiokuwa na vyama hii hoja tumeielewa sana.