mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 841
- 2,246
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae
Yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yani ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauri maana nataka kufanya maamuzi magumu sana