Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 654
Pole Abdul Nondo nakumbuka niliwahi kuleta uzi kuwa ACT-WAZALENDO hampo salama, nilizungumza kipindi chadema wameratibu maandamano.
Kipindi cha maandamano nilitegemea ACT-WAZALENDO watasema mishap ziara za kichama kuonesha kuwaunga chadema mkono kupinga mauaji na utekaji badala yake wao waliendelea zunguka siku ya maandamano na kuona chadema kama wavinjifu wa amani na wao watapendwa na dola.
Jambo ambalo inatakiwa wajue CCM sahivi hawapo teyari kuona kitu kinaitwa upinzani Tanzania bara kwahyo ACT-WAZALENDO huu muda kuelekea uchaguzi mkuu unganisheni nguvu mapema nyie siyo chama tawala.
Mjiurize maswali machache ACT-WAZALENDO kwanini wagombea wenu wameenguliwa kama walivyoenguliwa chadema, kwanini wanachama wenu wameanza kutekwa?
Hivyo basi hacheni siasa nyepesi kuamini katika kutoa matamko ambayo hamtafanikiwa chochote.
Ni muda sasa kukaa chini na chadema muanzishe oparesheni nchi nzima ,kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu yanaoendelea.
Msisubiri uchaguzi mwakani anzeni sasa.