Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
26,014
62,489
NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI

Anaandika, Robert Heriel
Loveboy

Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18!

Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia tembe mojamoja naam nilibadilisha warembo homeaway En home to stay angalau walionivutia walikaa siku tatu. Basi ilimradi roho yangu ilivyonituma.

Sikuwa na tofauti na Gaidi hatari ambaye jina lake lilikuwa katika vituo vyote vya polisi. Taikon jina langu lilikuwa maarufu katika vilinge vya waganga na waganguzi WA kienyeji katika Kona zote za nchi hii. Lilifikaje huko? Hata mimi sikuwa nafahamu. Kumbe Mimi ni maarufu hamniambii. Leo noop ni juzi ndio nimejua kuwa Mimi ni mashuhuri huko kwenye vilinge vya waganga wakienyeji.

Ila haya mambo ya kuparamia paramia wanawake hovyo matokeo yake ndio haya Sasa.

Nikazinduka nakujishangaa nipo kwenye kijichumba chenye matambara ya Rangi nyeusi, mekundu na meupe, kijichumba kile kilikuwa na mwanga hafifu uliotokana na mishumaa mitatu iliyokuwa inawaka, kilikuwa chumba kilichojengwa Kwa udongo huku kuta zake zikiwa na baadhi ya zana za kiganga za jadi, nilitambua tunguli mbili, vibuyu vitano Kama vya kimasai vya kuweka maziwa, usinga mrefu mweusi kama mkia wa farasi, chungu kikubwa kilichofunikwa ambacho kipo juu ya Mafiga. Zana zingine sikuweza kuziona vizuri Kama sio kuzijua kabisa kutokana na mwanga hafifu ambao haukuruhusu macho yangu kuona vyema.

Mara nikasikia sauti ya mtu akicheka kutokea ubavu wangu, nikageuka nikiwa nimetahayari Kwa hofu, nikashtuka kuona jimama lenye unene wa kati, Jeusi lenye macho makali, likiwa limechora USO wake Alama ya X yenye rangi nyeupe. Alama Ile ya X ilianzia kwenye Kona moja za paji la uso ya nywele
ikapitaa kwenye jicho na kukutania kwenye pua Yake, yaani pale kwenye interception ya mstari mmoja na mstari mwingine unaounda Alama X------ ulikuwa kwenye Pua yake na kumwagikia kwenye Mashavu yake huku mdomo wake ukiwa katikati ya Alama ^ iliyounda na Alama X. Mwanamke Yule alikuwa na nywele ndefu alizozichana na kuzilaza Kwa nyuma, zilikuwa zimefikia katikati ya shingo na mabega.

Sio tuu sauti yake mbaya aliyokuwa anacheka Bali hata macho yake makubwa mabaya aliyokuwa ameyatoa nje yalizidi kunipa uhasama wa kinafsia. Nilikuwa naogopa Sana, nikiri sijawahi kuogopa kama vile.

Nikawa najiuliza imekuwaje, nimefikaje pale, pale ni wapi, na Yule Mwanamke ni nani! Nikiwa najiuliza hayo Mara Yule Mwanamke akaanza kujinyonga nyonga huku akijipinda pinda na kuzungusha kichwa chake huku akinguruma ungedhani ni Paka shume anayetetea maisha yake. Jasho likaanza kunitoka, akili yangu ilinambia kuwa aliyekuwa mbele yangu ni MCHAWI hatari ambaye anakiu ya Damu.

Nikaamka na kukaa kitako kwani muda wote nilikuwa nimelala pale sakafuni kulikokuwa kuna mkeka wa ukili wenye rangi mchanganyiko wa nyasi kavu na Rangi ya zambarau. Nikataka kuamka ili nikimbie lakini sikuweza, kila nilipojitahidi nilishindwa, Yule Mama akawa ananisogelea huku akiendelea kama awali kujipindapinda na kuzungusha shingo na kichwa chake huku na huku lakini mara hii alikuwa akisema Maneno yenye lugha isiyoeleweka lakini ilifanana na Lugha za miungu yake. Hii ni kusema alikuwa akiongea na miungu yake ambayo sikuwa naiona. Nani ajuaye yeye pekee ndiye aliyekuwa anaiona, hata Mimi sijui.

Nikataka kupiga kelele lakini ajabu isiyo na jawabu Sauti yangu ikawa Kama barafu lililorushwa kwenye Moto mkali mara tuu ilipotoka mdomoni mwangu. Sauti yangu iliyeyuka na kuungana na hewa na wala haikusikia. Nikakumbuka zile Stori za wala sauti za watu ambao husababisha watu kuwa mabubu., Doooh! Masikini Taikon.
Niligeuka Bubu katika chumba cha Jimama jichawi kama nilivyokuwa nalitambua Kwa muda ule.

Yule Mwanamke sasa alikuwa mbele yangu Kama hatua mbili akiwa amepiga magoti akiwa anaongea maneno yasiyoeleweka Kwa Kasi ya ajabu, kadiri alivyokuwa anaongea Kwa Kasi ndivyo kumbukumbu zangu zilivyozidi kuingia ukungu na kupotea polepole lakini Kwa uhakika, natazama nikaona mshumaa mwingine ukiwaka katika Kona ya kile chumba, kabla sijageuka kuutazama nikashtuka mshumaa mwingine kutoka katika kona nyingine ya kile chumba ukiwaka, hapo akili yangu bado ikiwa imeingiwa na ukungu na macho yangu yakiona kama mazigazi( mirage) roho yangu ikitandwa Kwa mfadhaiko, mishumaa mingine miwili ya mwisho katika kona za kile chumba ikawaka, angalau nuru ilikuwa imekijaza chumba kile sasa niliweza kuona Kwa mbali Kama mtu atazamaye na darubini vitu vilivyokuwa katika kuta zile. Hiyo ilinifanya niwe natazama huku nimefinya macho yangu huku nikisogeza kichwa mbele ili nione Kwa ukaribu.

Yule mwanamke mchawi akazidi kunisogelea akiongea maneno Kwa Kasi ungedhani zile nyimbo za singeli zilizochezewa kikompyuta. Hapo nikaona upepo ukianza kuvuma ndani ya kile chumba huku Moto wa mishumaa ikiyumba huku na Huku kutokana na ule upepo, Yule mwanamke mchawi akatamka maneno Fulani yakiprotoko ya kimizimu punde taa ya chemli ikawaka ikiwa juu ya kianga cha Ile dari ya kile chumba, bado upepo ukiendelea kuvuma. Hapo nilikuwa Kama nimepagawa.
Yule mwanamke akazidisha zaidi na zaidi kuparamana, nywele zake zinapepeswa na upepo zikawa zinapepea huku macho yake akianza kuyafumba polepole kutokana na upepo akazidi kusema Upepo ukazima Ile mishumaaa na kubakiza taa ya chemli pekee ambayo mwanga wake ulikuwa hafifu zaidi na kufanya pawe na Giza Fulani hivi.

Upepo ukazidi na kuzidi sasa kila kitu kikaanza kupeperuka, mule ndani na kusombwa kama vikaragosi, nasi tukaanza kuelea angani tukizungushwa na ule upepo, Yule mwanamke muda huu alikuwa amefumba macho yake huku wote tukiwa tupo angani tunazungushwa na kimbunga kile cha kichawi. Yule mwanamke alikuwa kasimama amevaa mavazi ya zambarau akiwa amenyosha mikono na kuunda msalaba bado akiongea maneno Yale tulikuwa tunazungukana kama Spoku za baiskeli.
Punde tukabebwa mpaka angani Kwa nguvu nyingi nikawa napiga kelele Kama mwehu aliyepagawa. Sauti yangu ikawa inapotelea angani kwenye Nyota nyingi zilizokuwa zinawaka Kwa Shani ya kipekee.

Sasa nilikuwa kwenye mbingu huko juu nikielea Elea kama Tai anayechumbia taji jike. Sikumuona tena Yule mwanamke mchawi.
Nikawa nashangaa inakuaje naelea angani pasipo kuanguka. Nikatazama chini kwenye nchi.
Nikaona bado nchi iko na Giza, sikuona hata milima Kwa umbali niliokuwepo, niliona bahari pamoja na rangi ya Kijani ambayo nilijua ni misitu. Nilijiona kama mwanasayansi ninayeichunguza dunia kwani niliiona dunia ikiwa mfano wa Tufe ikiwa inazunguka polepole Kama konokono.
Nikiwa bado nashangaa mambo hayo punde si punde Kwa sekunde nikaanza kuanguka Kwa Kasi Kama kimondo, fuuuuuuuuu! Hewa iliyopiga masikio yangu ililia Kwa mfano huo.
Niliogopa Sana. Nilidhani mwisho wangu ndio umefika. Lakini sikukumbuka hata kuomba toba, ningekumbukaje ilhali kumbukumbu zangu zilipotezwa na Yule Mwanamke mnene kiasi mchawi!

Baada ya dakika Kama kumi hivi nikiwa angani nikawa nimeikaribia nchi. Nikaanza kuona milima, vichaka na makazi ya watu Kwa mbali. Moyo ulishakufa ganzi wala sikuwa naogopa tena kufa ingawaje roho yangu haikuwa tayari kukubali kuuacha mwili wangu.
Kadiri nilivyokuwa nikishuka ndivyo Kasi ya kuanguka ilivyokuwa inazidi maradufu. Upepo uliokuwa ukinizuia nisianguke Kwa upesi ulikuwa unapungua.

Taikon ndio mwisho wangu umefika, huyo!huyo!huyo! Bado nusu kilometa nipige mzinga ardhini. Kabla sijagusa Ardhi nikiwa nimefumba macho yangu nikashtuka nikiwa nimenyakuliwa nyakuu! Kama kifaranga, nikaelea nikiwa nimebebwa Kwa nusu dakika kisha tukashuka ardhini twaa!
Hapo nikafumbua macho yangu POLEPOLE natazama nikamuona Yule Mwanamke mchawi akiwa amejilaza ufukweni akiwa na Kichupi na brazia la ufukweni.
Alikuwa mbantu kweli amejazia haswa, shepu Kama lote lakini wala sikumtamani Kwa lolote. Taikon nilikuwa nimeshachoshwa na vibwanga vya Yule Mama.
Sikutaka hata nijaribu kumzoea ingawaje alikuwa anajaribu kila namna ili nimzoee.

Akawa ananiita Kwa madoido ya kike, Dooh! Mbona kama ananikamata Polepole. Akainuka kisha akapiga mbinja/mlunzi Kwa sauti, hapo tukiwa ufukweni.
Ghafla wakatokea baharini wanawake wanne warembo pamoja na wanaume wanne warembo wakiwa wameshika ALA za Muziki, yupo aliyeshika Gitaa, yupo aliyeshika Zeze, mwingine Ngoma, mwingine filimbi, mwingine kinanda basi kila mmoja na ala Yale. Wakaanza kupiga muziki hapo huku Yule mwanamke mchawi akianza kucheza na kungenua na mapaja yake mazito manene ya haja,
Hapo akanisogelea nilipoonyesha kuwa nimevutiwa na mambo Yao.

Akiwa kashika Moja ya vile vibuyu nilivyoviona Kule kwenye kile chumba akaninywesha akiwa ananirembulia Kwa macho ya kimahaba. Jamani! Jamani! Sitaki kukumbuka.
Hayakuwa macho hatari tena, yalikuwa macho makubwa mazuri malegevu yenye kunitekenya hisia zangu.

Yule mwanamke akageuzia makalio yake akaanza kuyatikisa Kwa nguvu ndindindindi! Kidogo nipige yowee! Mamawee! Sijui ni kile kinywaji alichoninywesha au ni kweli alishaanza kuziteka hisia zangu.

Akawa anaenda mbele kidogo Kwa madoido huku akitikisa zile nywele zake na kucheza Kwa kufuata mdundo wa muZiki uliopigwa na Wale wapiga vyombo vya muziki kutoka baharini.

Nikajikuta namimi naingia kwenye mtego WA nguruwe Pori. Nikaamka na kuanza kushikilia Ile tandamu. Tukacheza kama nyimbo za kiitaliano, kisha charanga, kisha twisti, alafu tukahamia Kihindi. Hapo kwenye Kihindi kuna baadhi ya mitindo alikuwa akinielemea kutokana na uzito wake, hatimaye tulijikuta tunanyonyana ndimi. Dooo! Alikuwa mtamu Kama asali, hata sikumbuki ala ya muziki iliondoka saa ngapi.
Tukajikuta tupo kwenye penzi nzito pembezoni mwa bahari huku tukipigiwa ALA za Muziki na sijui na wachawi wenzake au Majini Hilo halikunihusu.
Kila nilipokuwa nakula uroda ndivyo akili yangu ilivyokuwa inasafiri maili elfu elfu Kurudi nyuma na kwenda mbele.

Kuna wakati USO wa Yule mwanamke MCHAWI ulibadilika na kuwa na Sura mbalimbali za wanawake wazuri mashuhuri wa Duniani.
Kila akili yangu iliposafiri miaka elfu elfu iliyopita ikakutana na wanawake WA Zama hizo wote walikuja katika Sura ya Yule mwanamke mchawi niliyekuwa napiga naye mechi matata katika uwanda wa mahaba.
Sura ya Delila ikatokea katika USO wake hapo nikapandisha midadi na kutaka kulipa kisasi cha Samson, niliparangana haswa mpaka Yule mwanamke mchawi akawa anahema Kwa tabu Kama mgonjwa wa Pumu.
Nikapeleka akili yangu miaka elfu ijayo tangu mwaka huu.
Ikaja Sura ya mwanamke mmoja ambaye jina lake sikulitambua Ila alikuwa mzuri haswa atakayekuja miaka elfu ijayo.

Sasa nikawa napiga mzigo mpaka nikahisi nakaribia mshindo, kadiri bao lilivyokuwa linakuja ndivyo kumbukumbu zangu zilivyokuwa zinakimbia Kurudi katika siku ya jumapili ya tarehe 23/10/2022.
Hapo nikawa nagugumia huku akili yangu ikiwa inazinduka na bao likiwa linaanza kutoka.

Nikazinduka huku macho yangu yakishangazwa kuona Sura ya Mwanamke niliyemtambua ambaye tulikuwa wote Hotelini jumamosi hii. Akiwa yupo pamoja na Mganga Yuleyule mwanamke ambaye nilikuwa nakimbizana naye sijui kwenye ndoto, sijui kwenye ulimwengu WA roho, yaani sijui hata nielezeje.

Yule mwanamke akaniambia pole, nikamuuliza hapa niwapi nikiwa nimechoka.
Akanijibu, tupo Kwa mganga, ulipata tatizo Jana hotelini.
"Ndio unilete Kwa mganga WA kienyeji?"
Nikafoka kweli nikiwa nimevalishwa Kaniki nyeusi.

Alinisimulia jinsi ilivyokuwa, kuanzia tumeingia hotelini mpaka nilipojikuta Kwa mganga.
Kumbuka huyu Mwanamke sio wangu, nimeokoteza huko Mwendokasi, hiyo ni simulizi nyingine.

Hayo ndio madhara ya uzinzi.
Nipumzike Sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wahenga wanasema HUBA ( mapenzi) na KAHAWA ni vitamu sana vikiwa vya Moto
Mie nani nipinge
 
Unapaswa kuwa vizuri na Yesu Kristo kwani wakati upo na huyo mganga alishakuwekea mapepo ambayo matokeo yake utayaona polepole.
 
Wee baba wewe.. ht sio Kanisani?!!
 
Angalia usije ukawa umeingizwa maagano ya kuzimu
 
Back
Top Bottom