Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,528
- 30,751
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa saa tisa huko, hatulali.
Wapo kama watatu hivi sijui ni matapeli wa mitandao mm sielew, mda wote wanaulizwa na kujibu maswali, au sijui wanajisomea kwa video call za group?
Hawa wadada watanifanya nihame hii nyumba. Yaani muda wote wanaomba gift, nitumie gift. Hawa huenda niwapiga vizinga wa mitandao wale wa Facebook ukiwafata WhatsApp wanakuomba bando, muda wote hawana bando ilihali wapo online. Hawa ni wezi. Mm nitahama au nitareport polisi