Nilipopanga kila siku akina mama wanashindana kufua halafu bili ya maji tunalipa sawa

Mwambie mwenye nyumba akufungie au ujifungie Mita yako. Kama ni huduma za Mamlaka ya maji mwambie akupelekee maombi au kama ni huduma ya Mtu binafsi hapo ni rahisi unamfuata na kujiwekea Mita Kwa kumshirikisha mwenye nyumba.

Ila inauma! Upo Bachelor kufua wikiend,alafu unakuta kila siku wapangaji wenzako wana lundo la vyombo na nguo! Bill Kwa mwezi 150k! Mnagawana pasu Kwa pasu!
 
Back
Top Bottom