Nilimuacha mtoto kwa baba yake na sasa ana miaka 6. Je, Mahakama itanipa haki ya kumchukua?

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
239
168
Niliondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii.

Tukaandikishana nikaondoka nikaenda kupanga ni mwaka sasa dah huku mtaan kwa moto nahtaj kurudi kwa mume wangu na mtoto wangu ananiuma huko aliko na naskia mume wangu kaoa binti wa 2000 kamfungulia biashara.

Sasa namhitaji mtoto nimlee mwenyewe. Nimeenda mahakamani je kwa umri wa mtoto wa miaka 6 mahakama itanipa mtoto wangu?
 
Pekeyako unateseka vipi ukimchukua na mtoto unahisi mateso yatapungua au yatazidi???

Endelea kujipambania kwanza
 
Back
Top Bottom