Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza

Rosemin

Member
May 21, 2023
68
481
Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza!

**** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu!

“Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui hat aukinya inakuaje, hembu angalia, mimi wanawake wananipenda, nina akili na usidhani haya mafanikio yanakuhusu, hukuja na kitu na utaondoka na matambala yako mjinga wewe! Kila kitu hapa ni kwaajili yangu na ndugu zangu mjinga wewe, nilikosea sana kuoa mwanamke hana akili, kicha kimejaa makamasi!” kila tukigombana mume wangu alikua anatafuta namna ya kunitukana.

Ananiambia maneno ambayo yananifanya kujiona takataka, wakati nakutana naye hakua na kitu, hakua na kazi, alikua ndiyo kamaliza kidato cha sita, mimi nafanya kazi Bar, tukakutana kwa kazi yangu ya Bar nikahangaika mpaka nikamsomesha chuo akamaliza kwani hakupata mkopo na ndugu zake ni wale masikini hawajali chochote! Hakua na wazazi hivyoa lilelewa na ndgu tu tena wa mbalimbali! Baada ya kumalzia chuo hakusumbuka sana,a liajiriwa moja kwa moja akaniambia niache ile kazi tufungue biaashara, wakati huo nilikua na ujauzito wa mtoto wetu wa kwanza.

Tukafungua duka la vinywaji vya jumla, bia na pombe kali. Ilianza kama utani, kwakua nilikua najauna na watu wengi katika hiyo biashara hivyo ndani ya miaka 4 tukatoka kufunga mzigo wa milioni 6 mpaka tunafunga mzigo wa milioni 90 mpaka 130 tunasambaza jumla.

Mume wangu ambaye alikua Mwalimu aliacha kazi na kuanza kusimamia Biashara. Mambo yalikua mazuri tukafunga ndoa, alikua ananipenda kila kitu tunafanya pamoja! Nikiwa na ujuazito wa mtoto wa pili Dada yake alikuja kunisaidia uzazi! Kuona maisha tunayoishi kila kitu kilibadilika, mara ikaanza hanishirikishi tena kwenye mambo yake, nikatolewa dukani na kuambiwa kubaki nyumbani.

Wifi aliondoka lakini mwanaume ndiyo akaanza vituko, wanawake kila siku tena anatumiwa kutoka kwao kijijini, wanakuja kama wafanyakazi wa dukani ila baad aya muda unasikia ana mahusiano nao, nikiuliza ni vipigo, matusi na masengenyo ya hali ya juu! Ananitukana mimi na familia yangu, mara Malaya, sina akili na mambo kibao. Ananifukuza lakini nikiondoka akiona niko kimya sihangaiki naye anakuja kuwahcukua watoto, Kama Mama najikuta narudi kulea wanangu kwani akishawachukua anamuachia binti wa kazi hajali chochote hapo mwanangu mdogo ana miezi 9 ananyonya ila hajalia namchukua kilazima!

Aliniondoa kabisa kwenye biashara zake, akaniambia siajachangia kitu chochote, nina mikosi, ni Malaya ndiyo maana hafanikiwa, nilikua nalia kila siku mpaka siku moja nilipokutana ana Kitabu chako. Kusema kweli siku ya kwanza ni kama nilikiiba kwani ni rafiki yangu alituma kwenye group, nilipoona watu wanamponda kwanini unamuibia Kaka Iddi, sio vizuri mtu anahangaika na kazi yake kwa muda mrefu wewe unakuja kusambaza.

Watu walimsema sana mpaka akafuta, kweli nilipata mshawasha kujua huyu Kaka Iddi ambaye kila mtu anamtetea ni nani? Nikaanza kukusoma, katika kukusoma ndipo niligundua kuwa mume wangu ananinyanyasa kwakua hajiamini, anaujua mimi ndiyo chanzo cha pesa zake hivyo anjisikia vibaya akiwa na mimi, nilifanya kosa kumuacha afanikiwe peke nikiamini ni mume wangu changu chake chake changu! Ili aniheshimu basi ni lazima mimi kufanikiwa.

Nilinunua Kitabu chako cha ndoa, nikajua majukumu yangu kama mke, kwamba hata kama nitafanya biashara bila kujali anaongea nini nitabaki kuwa mke wake. Lakini nikajua kuwa furaha yangu haitokani nayeye, kwamba akiniambia mimi ni Malaya, kama najijua si mlaya sina haja ya kuumia, nachukulia maneno yake kama ya mlevi ambaye anakuambia nakupenda huku kashika tako la mke wake!

Wakati nanunua Kitabu chako kichwa changu kilikua hakiko sawa, kila siku ni mtu wa kulia, badala ya kumuomba Mungu kunibariki nilikua naomba na kulalamika mume wangu asifanikiwe. Nikasema hapana sasa hivi nahanagaika na maisha yangu. Sikua na hata shilingi kama mtaji ila nilikua na mtaji wa watu.

Sikua na hata silingi lakini nilikua najuana na watu, pia sikutaka ksuhindana na mume wangu. Nilichofanya nilianza biashara ya nyumba za kulala wageni, nilitafuta wamiliki wa nyumba za kulala wageni ambao niliona kama zimedorora, nikaingia nao mkataba wa kuzifufua halafu tunagawana faida.

Hata sikufanya kitu kikubwa, nilichofanya ni hivi, ukiangalia Gest nyingi si kama ni mbaya, hapana bali ni chafu, kama ukizikarabati vizuri zinakua mpya, lakini kwakua sikua na pesa ya kukarabati na wamiliki wengi kuwaambia kuhusu kukarabati ni ngumu basi nilitafuta vijana watano, nikaanza kufanya nao usafi, nilifanya usafi na kubadilisha hali ya hewa kukawa kupya, vyooo vikangaa. Kitu cha pili ni kubadilisha mashuka, nilitafuta mashuka ya mtumba mazuri grade one, niakongea na wamiliki wakanunua, basi nikafua na kutandika kama hoteli ya nyota tano, kisha nikaanza kupiga picha na kutuja mitandaoni kulipendeza.

Nilifanya hivyo kwa gest 3, lilikua ni wazo jipya kwangu lakini kwa nilivyobadilisha mteja akija ni mara moja tu anaingia hakuna chakuangalia hoteli nyingine. Kitu kingine ni katika kusimamia mapato, najua wahudumu wengi wanadanganya, nilichofanay ni kuweka kamera mapokezi na kwenye korido, hizo zote hazikua hela zangu bali wamilikia mbao walinielewa mawazo yangu!

Hapo mtu akiingia unamuona na kama akandikisha au la, akiingia na chumbani nako unamuona kuwa kaingia chumba flani hivyo ningumu kukudanganya. Lakini pia najua wageni wengi huondoka saa tatu mpaka saa nne asubuhi, hivyo mimi kila siku saa moja na nusu nipo pale mpaka saa nne. Inamaana mtu akitoka naona katoka chumba gani kama hajaandikishwa basi najua.

Wakati wote huo nafanya mume wangu alikua anajua ila ananiambia hutafanikiwa, huna akili, bila mimi huwezi. Kaka nimefanya hiyo biashara huu ni mwaka wa pili, sasa hivi nakodisha Gest, natafuta Gest ambayo najua haiingizi faida, ipoipo, naingia mkataba wa miaka miwili hapo najua kama nikifanya ukarabati hela yangu inarudi.

Nina Gest 5 sasa hivi nazisimamia, mume wangu biashara yake si mbaya lakini si nzuri kama mwanzo, kuna wakati alitaka tufanye baishara naye lakini nikagoma ila nashukuru sasa hivi ananiheshimu.

Changamoto zipo tena nyingi sana lakini hakuna mambo ya kutukanana, mambo ya huna akili wala nini, ananiheshimu kwani namimi nina kipato. Si kama yeye kwakua biashara ilishakua kubwa lakini sasa hivi anajua hata akiniacha kesho sirudi kwetu wala siteseki, anajua kua nina uwezo, anajua kuwa maneno yake hayaniumizi tena.
 
Umea

Umeanza vizuri mbele mbele kamba poa lakin ndio bongo
 
Uongo wa kitoto sana. Muwe na akili kidogo kudanganya
 
majani ya chai.jpg
 
Tatizo lako huwa una copy habari za Facebook na kuzileta humu hata kukushauri ni sawa na kutumia akili zangu na muda wangu vibaya.
 
Back
Top Bottom