Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,246
Ukichunguza sana, viongozi aina hii, wote huwa ni ndumila kuwili, mguu mmoja upinzani na mwingine chama tawala
Ukifuatilia kwa umakini huu mtanange wa nani ni nani kati ya Mh. Mbowe na Mh. Lissu katika kinyang'anyilo cha Uwenyekiti wa Chadema
Wanachama na wafuasi wa CCM, wanaombea kwa hali na mali, Mbowe aendelee kuwa M/kiti wa Chadema kwa sababu ya wanazozijua wao, na watu waliosoma Cuba, tunaelewa sana CCM wanachokuwa wanakifanya kwa kumpigia debe bwana Mbowe
Asilimia kubwa ya Wanachama wa CHADEMA, wanaomba sana mabadiriko na kupitia Mh Lissu ili awe M/kiti wa chama chao, na wanaamini, Tundu Lissu ndiye pekee anaweza kucheza na rafu za ccm na si mtu mwingine
CHADEMA, tangu mimi nimeanza kufuatilia siasa, sikuwahi kusikia jina lingine wala kuona M/kiti mwingine zaidi ya aliyepo sasa
Kwa maoni yangu, CHADEMA kinahitaji viongozi mahiri na wasio na uwoga wowote linapokuja suala la kukipigania chama, na si mwingine, bali Tundu Lissu, Mbowe amefanya mengi yatakumbukwa, ila kwa sasa, mbinu zake zilizopitwa na wakati, hazihitajiki tena
Ukiona jambo likishabikiwa sana na CCM, kuna mawili, ama ni mtu wao, na ama ni mtu mwepesi hawatishi wao!