Nilianzisha na kukuza biashara from zero ila kwa hapa nilipofika naona kabisa nahitaji msaada

asajizzle

Member
Oct 3, 2016
14
19
Wakuu habari ya asubuhi. Hongereni na majukumu na pia Poleni na changamoto za hapa na pale katika uwajibikaji, ni sehemu ya maisha tu.

Kwa nia njema tu naomba nitangulize angalizo kwamba hili sio tangazo la nafasi za/ya kazi. Nitajitahidi kuweka maelezo sawa ili ujumbe wangu uliokusudiwa ueleweke.

Ni biashara iliyojikita katika utoaji huduma kwenye nyanja ya information technology. Supply of IT solutions/services.
Nature ya wateja tunao deal nao muda wote ni Taasisi za kibiashara na sio watu binafsi. Hawa ndio wateja tunaohudumia. Wako mikoa kadhaa kwasasa kama vile
  • Dar es Salaam
  • Dodoma
  • Arusha
  • Iringa
  • Pwani
  • Kilimanjaro
We used to have few and manageable clients kadhaa, wachache kwakuanzia but kwasasa the number is growing considerably.

Na hii ni baada ya kuwa na mipango pamoja na mikakati katika kuona biashara inakua, na kiukwel inakua.
Hii imepelekea kuwa na wateja ambao ni very serious kiasi kwamba project in run short of resources and i really need serious people to team up with wenye uzoefu na katika masuala ya management, planning strategies.

Kwakua pia it is registed company ambayo hii biashara nafanya chini yake, tuna affiliations with other other third-party businesses mfano Banking sector, etc as part of our services.

Kwahiyo ni kitu serious ambacho kwasasa naona mambo yananizidia mimi kama mimi.

Kwa kipindi hiki choote, nimekua nikifanya kazi with a small team ambao wamekua wakini assist katika operation level lakin kwasasa nahitaji sana business partners and investors ambao tutafanya kaz pamoja katika ngazi ya strategy, planning and management.

I cant do it anymore alone kwakua kwa nature ya biashara hii ni life time business hajalishi nani yupo leo au kesho na hii ni kwasababu nature ya wateja tunaowahudumia ni Taasisi, sio watu binafsi.

Kwa mtu serious ambaye angependa kufahamu na kujuzwa mengi zaidi ,namkaribisha PM ambako tunaweza exchange contacts tukajadili conviniently. Najua unaweza ukawa na maswali mengi na kutaka ufafanuzi lakin pia ukatamani kutufahamu vizuri.
Tuko Dar Es Salaam

Natanguliza shukrani.

Mtanisamehe kama uandishi wangu haushawishi.

Majukumu mema
 
mkuu kwani huwezi nyoosha kiwahili tu au ukaandika kiingereza tu kuliko hizo pigo zako
We used to have few and manageable clients kadhaa, wachache kwakuanzia but kwasasa the number is growing considerably.
sasa few kadhaa na wachache imekaaje kitaalamu.....

alafu bado hujapata jitu la kwenda kuliua
 
Back
Top Bottom