Nikweli yasemwayo kuwa wanaume wa Dar hawawezi kumenya muwa Otherwise watengenezewe juice?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
5,827
11,836
Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.

Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba
kwenye lile shamba huwa kuna miwa kadhaa nikaona sio mbaya tupate miwa mimi na jamaa yangu.

Bahati mbaya hatukuwa na panga wala kisu.

Kama mjuavyo miwa ni mirahisi sana kuvunjika nimekanya muwa ukavunjika na kuvunja kipande nikamgawia akasema wewe!!! muwa unakulaje bila kumenyewa na kukatiwa katiwa vipande vidogo vidogo unakuwa unatafuna tu?

Akasema kwetu { Dar} lazima muwa umenywe na kukatwa vipande. Sijawahi kula muwa kwa namna hii.

Muda huo mimi nashangaa tu huku nakula muwa wangu na nikweli hakula alibeba akasema afike home aumenye.

Huku raha ya muwa umenye kwa meno yako na unalitafuna kidogo Ganda lake then unaitema.

Mnafeli wapi wanaume wa Daslma?
 
Muwa kama huo ulioweka kwenye picha ukiula kwa kumenya na meno huo weupe wote wa kwenye maganda unahamia kwenye mashavu unakua kama ka mwanasesele kamejipaka unga wa ugali sio poda, hapo Hadi ukatafute maji unawe mashavu hayo.
 
Mboma umeenda mbali sana, muwa ni mgumu kweli kwa wanaume wa Dar. Utashangaa mwanamme wa Dar anakuomba umvunjie biskuit au umtolee nyama ya mshikaki kwenye kijiti huku anakukodolea mimacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…