Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais

Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.

Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .

Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Mkuu wewe futa Simba na Yanga tu hayo maccm unayaacha unayadhoofisha tu kwa kuyanyang'anya viwanja vyote vya mpira. Hizo betting unaziacha unaweka mazingira mazuri ya vijana kupata ajira zitakufa zenyewe, ila Yanga na Simba chinja kabisa.
 
Kumbe sio mimi tu, sipendi habari za yanga na simba.

Zinafanya watu wanakua mazuzu sana
 
Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais

Nitafuta
Kamali
Simba
Yanga
Ccm.

Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja .

Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
Ndiyo afya ya akili hiyo inayolikumba taifa.
ulianza vema na senstensi za mwanzo, lakini zilizofuatia zinaashiria kuwa na tatizo la akili, unatatizo la afya ya akili

Mimi nitaziacha yanga /Simba na mambo yao, ila nitawajibisha CCM iseme watu waliopotea tangu waingie madarakani wako wapi!

Kamali will be negotiable as long as halazimishwi mtu
 
Mkuu wewe futa Simba na Yanga tu hayo maccm unayaacha unayadhoofisha tu kwa kuyanyang'anya viwanja vyote vya mpira. Hizo betting unaziacha unaweka mazingira mazuri ya vijana kupata ajira zitakufa zenyewe, ila Yanga na Simba chinja kabisa.
Mh! nyie sijui kama mnauwezo mzuri wakuwaza!, anaona hivyo kwasababu yupo nje ya mfumo siku akiingia ndani ya mfumo hatoboi hata punje!.

Simba na yanga sio tabu maana kama atahitaji kuwatengenezea vijana ajira hizo taasisi mbili zinatoa hizo ajira kwa kiasi chake, hivyo hatakiwi kuzifuta ni kuboresha nakuimarisha mifumo ya uendeshaji wa michezo kiujumla basi hapo atakuwa ametatua nakuacha fursa kibao!.
hivyohivyo kwenye makampuni ya bahati nasibu nakuimarisha sheria na vijana wakiwa na elimu na pesa kuwaza kubeti itakuwa kama ni luxury na sio chanzo cha maisha kama wafanyavyo sasahivi!.
hayo makampuni kumbuka pia yanatoa ajira na pia yanalipa kodi na ndio hayohayo yanadhamini pia timu!. nafikiri kufuta si hoja bali ni namna yakuyaendesha.

Hakuna kazi kubwa kama kupambana na watu ambao wameshakita mizizi kiuchumi wapo radhi kuua, maana wanajua ukiwaondosha unaweza usiwaache hivihivi na heri ambao wanadokoa dokoa tu!. kuna wenye biashara za magendo hawa ndio huwa hawana utu unapoingia kwenye anga zao!, kupambana nao unahitaji kujitoa muhanga alasivyo tutakusikia tu!.
 
Back
Top Bottom