Nikinywa Pombe nasikia Raha

Tuagize

JF-Expert Member
Dec 5, 2021
244
585
Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi 😁
image.jpg
 
Hivi mnapata raha gani kubugia vitu vichungu vinavyopelekea wakati mwingine ujikojolee na kulala mitaroni?


ndege JOHN
 
Back
Top Bottom