SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,180
- 1,869
Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani..
MUTALE na BALUA na wenzao wanaocheza kwenye hiyo nafasi zao ndo SIMBA ilipokwama, na kwa hawa viungo wa pembeni kila striker anayekuja SIMBA ataonekana hafai kwasababu halishwi mipira inayotakiwa kufunga....
- Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake.
- Utakuta kuna uwezakano wa kwenda pembeni ya uwanja kupanua eneo la mchezo wenzake wapate nafasi yeye atafosi kuingia kwenye msitu wa mabeki na mwishowe ananyang`wanya tu mipira.
- Sehemu za kuwatengenezea wenzake krosi za kufunga atalazimisha kufunga kwenye impossible angle.
- Kwenye kusaidia kukaba yuko sawa ila siyo kazi ya msingi..