Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,954
Walio karibu na huyu jamaa embu wamuangalie au wamshauri aachane na SIMBA, familia yake imshauri aachane nao..hawaoni kama anawehuka hivi? Huyu jamaa anaanza kuwehuka flani hivi yote hii kwa sababu gani ..kisa SIMBA?
Unakuaje msemaji wa timu ambayo ina viongozi wabovu wasio na maono? Hivi pale simba nzima nani anafikia hata robo ya akili za injinia hersi kiongozi anamfata mchezaji hadi kwa mzazi wake, utashindana nae wapi? Viongozi vijana na wasomi wenye vision kama wa yanga utawaweka kundi moja na nani pale simba?
Lakini ubovu wote huu, kazi ya kuficha anapewa msemaji wa simba, inafikia mahali anavyojitoa akili mana kuisemea klabu inayofungwa magoli 7 na mpinzani wa jadi lazima ujitoe akili, sasa akili inatoka kweli,, embu ona ongea yake ya hivi sasa, mara avae kama.chizi, mara aingie na ngamia uwanja wa taifa, leo anakuambia simba haipiganii nafasi ya pili bali "inairukia", na anavyosema hivyo jamaa linaruka kweli
Aisee ya nini kujitesa hivi kisa simba isojitambua chini ya viongozi wabovu?