Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,257
- 13,188
Shalom,
Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari wanafunguo za milango yote ya nyumba kubwa na ndogo.
Nasikitika sana nawaza uelekeo wa maisha haya , naogopa mpaka naogopa tena na tena.
Wanawake tafadhari acheni matumizi ya ufunguo wa mlango wa mdogo.
Ni hayo tu hali ni mbaya sana
Wadiz