Nikianzisha Salon Maalum Ya Kunyoa Nywele Za SIRINI Nitapata Faida?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Nimetafakari Sana Kuwa Kwa Jinsi Watanzania Tulivyo Busy Na HARAKATI Za KIMAISHA Iwe Kwa WANAUME Na WANAWAKE Hali Inayopelekea Wengi Wenu ( Mimi Simo ) Kukosa Muda Kabisa Hata Wa Kunyoa NYWELE ZENU ZA SIRINI a.k.a Mavuzi.

Hivyo Katika Mapambano Yangu Ya Kutumia FURSA Na Baada Ya Kugundua Watu Wengi Ni WAVIVU Kunyoa Nimeona NIANZISHE SALON MAALUM Kwa KUNYOA HIZO NYWELE ZA SIRINI Ambapo Nitaweka Mazingira Mazuri Ambayo Yatamfanya MNYOLEWAJI Asijisikie Vibaya Na Badala Yake Avutiwe Na Aje.

Hivyo Basi Naomba Kuuliza:

  • Je Hili WAZO BIASHARA Ni Zuri?
  • Je Nitapata FAIDA Ya Haraka?
  • Je Kile Kibao Cha SALON Ya Aina Hii Nikiandike Vipi?
  • Je Nichukue TAHADHARI Gani / Ipi Labda Kutoka Kwa WATEJA Watakaokuwa Wanakuja?
  • Je Nianze Na Wafanyakazi Wangapi Na Wengi Wawe Wa Jinsia Gani / Ipi?
  • Je Niwe Natoza Fixed Price au Kulingana Na Aina Ya PORI ( Nywele ) Za Mteja Za Sirini?
  • Je Wafanyakazi Wangu Watakuwa Wanapata CHANGAMOTO Gani Labda?
Karibuni Katika Kunipa Mawazo Na Nitawashukuruni Mno Kwani Sasa Nimeamua Kuwa MJASIRIAMALI NILIYETUKUKA Na Nimeona Kuna FURSA Nzuri Hasa NIKIJIKITA Katika Biashara Hii Ya Unyoaji NYWELE ZA SIRINI.
 
Utapata faida sana,maana watu wengi wa Dar hawanyoi,maana unakuta ukitaka kunyoa tu unahongewa mlango mwengine aingie bafuni
 
Unatafuta laaanaaa... usipopofuka utakuwa chizi ..haiwezekani sehemu za siri za mtu ziwe wazi kwako...wewe mwanaume mzimaaa kila siku uwe unachezeaaa nyeti za wanaume wenzioo...au wanawake.. kwa siku ziwe 10 kwa mwezi jee....
Lazima ulaanikeeeee na mwishowe na tabiri kifo ...maaana mshahara wa dhambi ni Mauti.
 


Hivi nyeti za kike na za kiume zipi ni shida kushughulika nazo we meku7?
 
Hahahaha labda mashoga ndio watakua wateja wako. .kidume mim nije nikupanulie makalio uanze kuninyoa thubutuuuu
Heee hii ndio naskia leo ,nywele za kwenye makalio ya vidume zinanyolewaga ?????
 
Huko ulaya na marekani hiyo ni biashara nzuri na inalipa sana ukitafuta youtube utaona jinsi wanavyofanya kazi
Wafanyakazi wake wanawake na wanaume ili mteja achague mwenyewe
 
Kukushauri uwe na salon ya kawaida na ndoni kuwe na service hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…