Nigeria: Zaidi ya watu 100 wauawa baada ya vikundi vya wanamgambo kuvamia Wanakijiji

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,640
6,315
Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba.

Abubakar Ahmed, kiongozi wa Serikali ya Mtaa ya Bukkuyum amesema idadi ya Watu waliofariki ni zaidi ya 100 katika maeneo ya Bukkuyum na Anka licha ya kuwa mamlaka za Serikali zimedai idadi ya kamili ya waliopoteza maisha haijajulikana.

Baadhi ya wanakijiji wamesema kuna miili imezikwa, mingine imechomwa na bado zoezi ya kutafuta miili linaendelea.

======== ================

More than 100 killed in Nigeria attack – villagers
More than 100 people have been killed by suspected “bandit” militants in northern Nigeria, it was reported on Friday, as authorities continued to search for bodies and suspects after days of violence.

Gunmen on motorbikes arrived in large numbers in as many as nine communities between Tuesday and Thursday night, opening fire on residents and burning homes, according to survivors who fled.

Abubakar Ahmed, a resident of the Bukkuyum local government district, told the Associated Press that the gunmen “killed more than 100 people” in Bukkuyum and Anka.

Aliyu Anka, a resident of Anka Town – a community known for artisanal mining – also said more than 100 people were thought to have been killed. In one village, “they killed people from 20 years and above”, he said. “Some have been buried, some were burned, and we are still looking for bodies.”

Source: BBC
 
Jihad maana yake Nini mkuu?
Jihaad ni neno la kiarabu lenye maana zaidi ya moja lakini katika maana zake ni mapigano baina ya waislamu na maadui zao kwaajili ya kuitetea dini yao, na jambo hili ni ibada kubwa hivyo ina taratibu zake na sheria na miongozo yake.

Kwanza, ni jambo linataka kiongozi wa dola na hufanyika kwa malengo ya kujitetea au kutanua dola na haya yote yana masharti mengi na vipimo vingi vya maslahi na mafsad.

Lakini pia jihaad huweza kuwa jihaad ya kupambana na nafsi yake mtu kwa kuizuia na mambo machafu na maovu n.k pia jihaad ya kupambana na vishawishi vya shaytwaan.

So mkuu hayo makundi ya kuchinja watu hovyo huko nigeria na kwingineko duniani ni uhuni na uharibifu ambao unapingwa na uislamu na waislamu wenye elimu na maarifa duniani kote, na mafundisho ya kiislamu ukisoma yanakataza kuua watu wasio na hatia kwa mtindo kama huo.

Kama uko na swali na unataka mjadala wa kuongeza maarifa pasi na kufanyiana kejeli na matusi, karibu mkuu.
 
Jihaad ni neno la kiarabu lenye maana zaidi ya moja lakini katika maana zake ni mapigano baina ya waislamu na maadui zao kwaajili ya kuitetea dini yao, na jambo hili ni ibada kubwa hivyo ina taratibu zake na sheria na miongozo yake...
Lakini ni kundi la kiisilamu? Unafikiri ufadhali unatoka wapi??? Nini maana ya kuitetea Imani? Kwa Nini nchi za kiislamu kuna machafuko Sana mfano somalia, afaghastani nk! Hivi kwa nini Mungu wenu asijitete yeye mwenyewe mpaka nyie mmtetee?

Kwa nini uslamu unalazimisha wengine waufuate hata kama hawataki? Mfano pale afaghastani unalazimishwa kufuata misingi ya kiislam hata kama wewe sio muislam! Kwa nini kila mmoja asibebe msalaba wake??? Nyie haumuoni kuwa hii dini mmeiingizw mkenge na wanjanja?
 
Lakini ni kundi la kiisilamu???? Unafikiri ufadhali unatoka wapi??? Nini maana ya kuitetea Imani??? Kwa Nini nchi za kiislamu kuna machafuko Sana mfano somalia, afaghastani nk! Hivi kwa nini Mungu wenu asijitete yeye mwenyewe mpaka nyie mmtetee???? Kwa nini uslamu unalazimisha wengine waufuate hata kama hawataki??? Mfano pale afaghastani unalazimishwa kufuata misingi ya kiislam hata kama wewe sio muislam! Kwa nini kila mmoja asibebe msalaba wake??? Nyie haumuoni kuwa hii dini mmeiingizw mkenge na wanjanja????
Hapana sio kundi la kiislamu, nikisema uislamu hauhusiki na huo ujambazi namaanisha kabisa hawa jamaa kwanza ungejua target yao ya kwanza ni waislamu wenyewe hata hiyo story hapo juu inathibitisha maneno yangu, ukienda somalia alshabaab wanaua waislamu ukienda huko afghanistan milipuko yote hiyo ni waislamu wanakufa, turudi kwenye hoja zako nyingine.

Ama pale afghanistan wale wanalazimishwa kufuata misingi ya masufi wa kitaleban na sio uislamu, uislamu wakati wa mtume swala na salaam ziwe juu yake wakristo waliishi kwa amani na walilipa kodi kwenye dola la kiislamu na uislamu umeweka sheria kali kwa atayemuua mtu asiye muislamu aliyekubali kuishi na waislamu kwa amani.

Ama kuhusu allah, sisi hatuko hapa kumtetea yeye, yeye amejitosheleza na ndio muumba wa mbingu na ardhi kila kiumbe kimeumbwa na yeye, je sisi tunahangaika nini? sisi tunayoyafanya yote ni kwa manufaa ya nafsi zetu tu ni nani mwenye kuweza kuwaingiza watu mkenge kuwawekea mfumo mzuri wa maisha ya duniani na akherah kama huu? kama ndivyo mbona hakuna kuingizwa mkenge kuzuri kama huku?.

Nchi za afghanistan, somalia n.k kukosa amani ni kutokana na fujo za kikabila, kiutawala kugombania madaraka na pia chokochoko za haohao wazungu kutokana na rasilimali zinazopatikana huko.

Mwisho waislamu wamepigana jihadi ya kisheria kwa kule kupatikana malipo na daraja za juu kwa hilo na allah amewapa mtihani huo ili awajue wenye subra na wenye ukweli hasa wa iymaan.

"Je! mnadhani mtaingia peponi na hali ya kuwa allah hajawapambanua wale waliopigania dini miongoni mwenu na hajawapambanua wenye kufanya subra?."
Qur'an 3:142
 
Hakuna atayeweza kuamini hizi porojo,uislam sio dini rafiki kwa wasio waislamu acha kudanganya watu.
 
Hakuna atayeweza kuamini hizi porojo,uislam sio dini rafiki kwa wasio waislamu acha kudanganya watu.
Usipoamini sio tatizo mkuu kwasababu ni njia umeamua kufuata, shida inakuja kuwapumbaza wengine kwa uongo usio na ushahidi hapa ndio panashindikana kupanyamazia.
 
Lakini ni kundi la kiisilamu? Unafikiri ufadhali unatoka wapi??? Nini maana ya kuitetea Imani? Kwa Nini nchi za kiislamu kuna machafuko Sana mfano somalia, afaghastani nk! Hivi kwa nini Mungu wenu asijitete yeye mwenyewe mpaka nyie mmtetee?

Kwa nini uslamu unalazimisha wengine waufuate hata kama hawataki? Mfano pale afaghastani unalazimishwa kufuata misingi ya kiislam hata kama wewe sio muislam! Kwa nini kila mmoja asibebe msalaba wake??? Nyie haumuoni kuwa hii dini mmeiingizw mkenge na wanjanja?
Usiende mbali hapo tu Zanzibar,wanaoiga marufuku watu wote kula mchana eti ni Ramadan,alafu juzi wanaandamana kupinga kanisa lisijengwe,aisee!
 
Back
Top Bottom