Wanaharakati kutoka katika asasi za kiraia zenye heshima kubwa nchini Nigeria imemtaka Rais Muhammadu Buhari achukue likizo ya matibabu.
Rais hajahudhuria vikao viwili vya baraza la mawaziri hali iliyozua taharuki juu ya afya ya kiongozi huyo. Rais Buhari hajaonekana hadharani kwa muda wa wiki moja hali iliyopelekea wananchi kuanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii kwa kiunganishi cha [HASHTAG]#WhereIsBuhari[/HASHTAG] (Yuko Wapi Rais Buhari).
========
Some of Nigeria's most high profile civil society leaders have called on President Muhammadu Buhari to take medical leave.
The president's absence from two consecutive cabinet meetings as well as Friday prayers last week has fuelled speculation about the state of his health.
He has not been seen in public for more than a week and the hashtag [HASHTAG]#WhereIsBuhari[/HASHTAG] has been trending on Twitter in Nigeria over the past 24 hours
Ni kweli kashamaliza wafanyikazi hewa akaja na wafoji vyeti na nasikia sasa hivi ataqashughulikia waliogushi umri na ninaamini akimaliza na hawa atakuja na wanaotumia majina ya ukoo ambao siyo Yao kwa maana mama alibambikiza mimba kwa mtu ambaye SI yake na mtoto alipozaliwa akatumia ubini huo kwa nukushi ya kitanda hakizai haramu..
Kweli hii Ni nchi ya V wonder