Nigeria: Kiongozi wa Boko Haram auawa katika shambulizi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,661
6,395
air-force-jets-e1627509142258-680x365_c.png
Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga.

Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022 katika Jimbo la Borno.

Modu anatajwa kuhusika katika kuratibu mashambulizi ya kundi hilo katika Nchi za Nigeria, Niger, na Cameroon.

------------------------

Nigeria's Boko Haram commander killed in air strike

Boko Haram militant group leader Alhaji Modu, alias Bem Bem, was killed last week in an air strike by the Troops of Air Task Force (ATF), the Nigeria military announced on Sunday.

It said 28 militants were also killed in the airstrike carried out on 3 August in the north-western Borno State.

The BBC has not been able to independently verify the report.

Modu is alleged to have coordinated Boko Haram attacks in Nigeria, Niger, and Cameroon from caves in Mandara mountain.

Zagazola Makama, a counter-insurgency expert quoted by various local media, says Modu was an armed robber before becoming a Boko Haram commander.

The Nigerian government says that the military has recorded significant success in the fight against Islamist militants, including the voluntary surrender of thousands of militants in the north-east.

Source: BBC
 
... huu kweli msimu wao kwenda kujilia zile 72; last week Ayman al-Zawahir (al-Qaida); juzi Khaled Mansour (Islamic Jihad); leo Alhaji Modu ‘Bem Bem’ (Boko Haram). Safi sana.
 
Dunia inazidi kuwa salama. Hongera sana Rais Buhari na Jeshi jasiri la Nigeria kwa zawadi hii nzuri.

Pia bila kuwasahau Joe Biden na CIA kwa kumtunuk Al Zawahir the 72. Pia pongezi za dhati kwa Jeshi tukufu IDF la taifa teule pamoja na waziri mkuu lipid na waziri wa ulinzi Gangtz wa taifa teule kwa kumuwaisha faster kuzim Mansour Khaled.

Juhud zenu za kuleta usalama duniani na Mali za watu tumezipokea kwa dhati na msihishie hapo tupo pamoja.

Bwana Utam STRUGGLE MAN Ami
 
Nahisi mpaka sasa kwenye ile list ya THE 72, ameshapiga kama 15 hivi.
 
Dunia inazidi kuwa salama. Hongera sana Rais Buhari na Jeshi jasiri la Nigeria kwa zawadi hii nzuri...
Dunia haiwezi kuwa salama kwa kuuana. Kusemeheana ndilo suluhisho. Kuelimishana kuwa binaadamu sisi hatutofautishwi na dini
 
Kama ingewai kuthibitishwa ni kweli hata mimi ningeenda kuwa gaidi
 
Dunia inazidi kuwa salama. Hongera sana Rais Buhari na Jeshi jasiri la Nigeria kwa zawadi hii nzuri.

Pia bila kuwasahau Joe Biden na CIA kwa kumtunuk Al Zawahir the 72. Pia pongezi za dhati kwa Jeshi tukufu IDF la taifa teule pamoja na waziri mkuu lipid na waziri wa ulinzi Gangtz wa taifa teule kwa kumuwaisha faster kuzim Mansour Khaled.

Juhud zenu za kuleta usalama duniani na Mali za watu tumezipokea kwa dhati na msihishie hapo tupo pamoja.

Bwana Utam STRUGGLE MAN Ami
Bado Gaidi Barck Obama yupo pale Alabama
 
Kuna watu naona wameingia mitini hapa hata wale masheikh hawaonekani.

Hii taarifa haijawafurahisha kwa maana huyo aliyeuwawa ni ndugu katika imani halafu tena alikuwa ni memba katika Global Jihad Mission.
 
Ila kama ni kweli kule akhera kuna 72 wahuni wanaenda kufaidi sana sijajua kama hao 72 tu wanashare au kila mtu na 72 wake..

kila mtu na wake. in short Mwanamke ukifa Bikra hapa Duniani jua unaenda kuwa mke wa 72 wa shabi mmoja huko ahera. enyi wanawake tunzeni bikra zenu mkawe waume wa waja mashababi na mabarobaro akhera.
 
Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga.

Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022 katika Jimbo la Borno.

Modu anatajwa kuhusika katika kuratibu mashambulizi ya kundi hilo katika Nchi za Nigeria, Niger, na Cameroon.

------------------------

Nigeria's Boko Haram commander killed in air strike

Boko Haram militant group leader Alhaji Modu, alias Bem Bem, was killed last week in an air strike by the Troops of Air Task Force (ATF), the Nigeria military announced on Sunday.

It said 28 militants were also killed in the airstrike carried out on 3 August in the north-western Borno State.

The BBC has not been able to independently verify the report.

Modu is alleged to have coordinated Boko Haram attacks in Nigeria, Niger, and Cameroon from caves in Mandara mountain.

Zagazola Makama, a counter-insurgency expert quoted by various local media, says Modu was an armed robber before becoming a Boko Haram commander.

The Nigerian government says that the military has recorded significant success in the fight against Islamist militants, including the voluntary surrender of thousands of militants in the north-east.

Source: BBC
Kiuhalisia Ugaidi hauwezi kuisha. Mpaka wisho mwisho wa dunia huko.
ila kwa sasa haiwezekani , na kila unapomuua mmoja unazalisha wengine kumi mfano wake.
 
... huu kweli msimu wao kwenda kujilia zile 72; last week Ayman al-Zawahir (al-Qaida); juzi Khaled Mansour (Islamic Jihad); leo Alhaji Modu ‘Bem Bem’ (Boko Haram). Safi sana.
Hakika ulikuwa msimu mzuri kwa counterterrorism operations.
 
Back
Top Bottom