NIGERIA:Buhari Amjibu raia Aliyemuandikia barua kumpa pole.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722

Rais wa nigeria alikuwa na matatizo ya kiafya. Raia wengi walijitokeza kumuombea na kumtakia heri na apone haraka. Raia mmoja wa nigeria anayeishi Uingeleza alififia mbali zaidi akamuandikia barua ya pole na kumtumia kadi.
Katika hali isiyotarajiwa Rais Huyo alijikunja akatype barua ya kumjibu na kumshukuru raia wake kwa kumtakia kheri...
 
Huyu buhari ni mdini sana ,inasemekana ni muanzilishi boko haramu.Kujifanya kuwaweza bokoharamu ni watu wake,kwa hiyo amewaambia tu watulie,na watekeleze mashambulizi pale inapohitajika.
 
Huyu buhari ni mdini sana ,inasemekana ni muanzilishi boko haramu.Kujifanya kuwaweza bokoharamu ni watu wake,kwa hiyo amewaambia tu watulie,na watekeleze mashambulizi pale inapohitajika.

unaielewa vizuri historia ya book haramu vizuri?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…