Nifate utaratibu gani nipate mikopo ya Halmashuri inayotolewa bila riba na Serikali

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
10,377
18,016
Wakuu hiki kitu masiki tu kuwa. Kuna mikopo inatolewa bila riba kwa. Vijana na CAG kweny taarifa yake allisema mikopo hyo ni chechefu

Na mimi nataka nipate mkopo huu kama raia wa taifa hili

Sifa zangu ni kama zifatazo
Ni raia
Sina kazi
Ni machinga mdogo mdogo
Sina ardhi yoyote
 
Mkuu kumbe ni mganga njaa tu, unavyotanuaga mabega kwenye comments zako nikajua mtu wa maana kumbe Chinga. Shikamoo JF
 
Fanya uchawa, chukua kadi ya uvccm, ama kama mzee basi chukua kadi ya wazazi shiriki vikao vyote - hata ikibidi sapoti ujinga - ikibidi wachome watanganyika wenzako for ur better future.

(Warning: Never try this at home)
 
Jitahidi kua karibu na wana chama pendwa na kadi yaa uanachama uwe nayo dili kama hizo hutozikosa mapema
 
nenda kwenye halmashauri ulipo utapewa utaratibu au pia unaweza anzia kwa watendaji wa mitaa/vijiji.
 
Ukada nao ni kigezo. Tafuta kadi na nguo njano na kijani ziwe na picha ya jembe na nyundo.
Ukiingia ofisini unapita bila kupingwa
 
Back
Top Bottom