Nifanyeje kubadili jina Facebook?

Toa consultation fee sasa.
Ya nn mkuu? Humu kila kitu ni free km anataka kubadilisha jina. A log in kweny facebook yake atumie web yaan aingie google kisha a log in kisha aende setting hapo atakutana na option.
Kwa msaada zaidi a google
1. Jinsi ya kubadilisha jina facebook kabla ya miez 6.
Kitambo sana sijaingia fb huwa inapita hata miezi 5 sijaingia na nikiiingia dk 1 tu nishamaliza na log out.
 
Wanaruhusu kubadili jina kila baada ya miezi 6.
Kutumia jina moja km Babati. Install vpn kweny pc au simu. Kisha i set kweny ip address ya indonesia, hapo utakuwa unatumia server ya indonesia kisha log in kweny account yako ya fb, ingia setting (hatua za kubadilisha jina ni zile zile). Fuats hatua za kubadilisha jina 100% utafanikiwa
 
Thx mkuu
 
Pamoja mkuu
 
Unatumia vpn ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…