Dream League
Member
- Dec 11, 2017
- 26
- 25
Msaada jamani nataka kuangalia Mechi ya Chelsea na Arsenal live kupitia Simu yangu nitumie njia gani???
Hukuwa na haja ya kutumia mb zako kumtukana kma hujui. Ungepiga kimya tu.Stupid
Ndo umemualekeza au mishauwoStupid
Jalibu app ya ustream ,inaweza kukusaidiaMsaada jamani nataka kuangalia Mechi ya Chelsea na Arsenal live kupitia Simu yangu nitumie njia gani???
Acha uongo ni halftime na ni bila bilaNjoo kwenye app ya mobdro, Morata kishapiga hat trick huko
ModobroMsaada jamani nataka kuangalia Mechi ya Chelsea na Arsenal live kupitia Simu yangu nitumie njia gani???