Mynah -lee
New Member
- May 13, 2024
- 3
- 1
Naomba mnisaidie nini tufanye ikiwa darasani kwetu karibia wanafunzi wote wa diploma hatujawa verified NACTE.
Chuoni tunajitahidi kufatilia tunaambiwa tusubiri tu mpaka dirisha lifunguliwa na wakati mwaka huu tunataka tu apply degree.
Naomb msaada wakuu hakuna namna nyengine au ndo mpaka chuo lazima kipeleke matokeo naomba mnisaidie kama kuna plan B jamani🙏🙏🙏😢