The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,284 117,309 Apr 7, 2016 #1 Wataalamu wa jukwaa hili... nifanyeje niweze tazama ligi ya mpira wa miguu ya Egypt? kwa kupitia channels zipi? nitaipataje?
Wataalamu wa jukwaa hili... nifanyeje niweze tazama ligi ya mpira wa miguu ya Egypt? kwa kupitia channels zipi? nitaipataje?
Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,208 37,957 Apr 8, 2016 #3 duuuh, Egypt! The Boss ukikwama nitakusaidia namna ya kuangalia ligi ya India!
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,638 42,398 Apr 8, 2016 #4 chanell zinazoonesha -Nilesport -ON tv -Al hayat tv zote hizo zinapatikana satelite hii Nilesat 201 at 7.0°W - LyngSat ngoja mafundi dishi waje kukusaidia kama inapatikana pia unaweza cheki kwa internet nimeona wana app playstore search nilesport utest.
chanell zinazoonesha -Nilesport -ON tv -Al hayat tv zote hizo zinapatikana satelite hii Nilesat 201 at 7.0°W - LyngSat ngoja mafundi dishi waje kukusaidia kama inapatikana pia unaweza cheki kwa internet nimeona wana app playstore search nilesport utest.
GOKILI JF-Expert Member Apr 2, 2012 633 439 Apr 8, 2016 #5 Muone jenny muro na benchi la ufundi la klabu ya yanga.
kansinsi Member Sep 24, 2013 76 11 Apr 10, 2016 #6 Mwl pole kwa kazi bilious naomba msaada wako jinsi gani naweza kurumia sim kutoa vdio kupeleka kwenye tv
Mwl pole kwa kazi bilious naomba msaada wako jinsi gani naweza kurumia sim kutoa vdio kupeleka kwenye tv
kansinsi Member Sep 24, 2013 76 11 Apr 10, 2016 #7 Mwl je na hiya life ya India channel zake ni zipi na kwenye android zinapatikana msaada wako mwl