Nifanyaje ili kumpata huyu demu

Chimoto

JF-Expert Member
May 30, 2017
293
122
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
 
Kuna wimbo flani hivi umenitoka kidogo,japo nakumbuka baadhi ya maneno: ......sijui nini na nini ".... KAMA HAKUTAKI YANINI KUMBEMBELEZA...."
Anayeufahamu anikumbushe tafadhali.
 
Wewe mwenyewe mwezi wa 8 huu tunazungushana humu JF.

Ila nimemwachia Mungu.
 
Mjomba punguza kulalamika mjomba....
missing you my uncle
Mpwa kumbe ulikuwepo hapa karibu. Haha raha ya penzi kunyenyekea.

Miss you too mpwa. Kila siku namuuliza maserati umeenda wapi
 
Hahaaa tatizo lako ni moja tu....hutaki ninywe safari.
Kilichobaki wewe acha nikuombee uzima uendelee kuwq mzuri unirushe roho tu.

Nikuruhusu safari mara ngapi mimi wewe kunywa hata Journey ila acha kamoyo kanisukume.
 
Mpwa kumbe ulikuwepo hapa karibu. Haha raha ya penzi kunyenyekea.

Miss you too mpwa. Kila siku namuuliza maserati umeenda wapi
Uncle acha tu. Niko nasaka pesa uncle. Nipo nipo kimtindo,lakini sijatulia. Hata jf naingia kwa kunyapia nyapia (in maserati voice)
 
Kilichobaki wewe acha nikuombee uzima uendelee kuwq mzuri unirushe roho tu.

Nikuruhusu safari mara ngapi mimi wewe kunywa hata Journey ila acha kamoyo kanisukume.
Hayo maneno ungeyasema nikiwa napata moja moto moja baridi kwa bili yako,ningekuelewa zaidi...ila tatizo lako wewe una maneno mengi mazuri,lakini vitendo hauna!
 
Maneno yako yamenichoma saana.

Lakini tusiisiishie hapa maana utaniachia kovu lisilofutika moyoni. Nikutakie usiku mwema kesho tuianze weekend utakapotaka.
 
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Mwaka mzima??? Atakuwa kuna Boya anampooza mmhh ..
Mambo ya kizamani hayo ya mwaka mzima... Mhhh..
Kama ni mwanafunzi subiria amalize masomo yake bhana.. Maana Hana sababu nyingine zaidi ya hiyo ila kama si mwanafunzi kaka mda unakwedna
 
Maneno yako yamenichoma saana.

Lakini tusiisiishie hapa maana utaniachia kovu lisilofutika moyoni. Nikutakie usiku mwema kesho tuianze weekend utakapotaka.
Hayo ndo maneno....nangoja vitendo hiyo kesho! Lala unono mwaya!
 
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Usimtongoze muite ghetto/Room/ guest moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…