Kama mnavyojua ktk ulimwengu wa Internet, pindi unapotaka kujiunga na forum yyte lazima uji register na kufungua forum account. Sasa swali linakuja katika verification code wanakuuliza "wewe ni binadamu?" Je kuna software yeyote inayoweza kufunya register Pasi na binadamu.