Nifah ni dada smart wa siku ya leo ktk jukwaa hili

mpyonko

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
353
388
Wakuu habari za majukumu?

Nimetafakari maneno yaliyo kwenye moja ya post za Nifah nikajisikia kumtunuku kuwa ni Dada smart wa siku.

Kilichonivutie kwake ni kipande hichi cha sentensi na nukuu "what am trying to say is....mapenzi ya ukweli yapo haijalishi wapi utakapokutana na soulmate wako,ila naamini yapo." Mwisho wa kunukukuuu

Hii ni kwa mtazamo wangu. Ktk kutia moyo na wakupromoti Dada zetu nawewe weka wazi yupi ni Dada smart kwa siku ya leo kwako, utupe na sababu.
 
Uliomba ruhusa kwa mwenye mali au ndio kuanaza kujipendekeza ubebe MZIGO REMIX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…