Sir Bujiku Official
Member
- Jan 9, 2025
- 8
- 11
1. Mwanamke ambaye ninamzidi miaka 3, ni mwanachuo wa Bachelor, ni Mhehe kwa kabila, anapenda kusifiwa ndo furaha yake, anaishi na wazazi wake wote wawili na ndugu wengine kama kaka zake, dada zake na wadogo zake, ananipenda sana na anapenda WhatsApp video call tukiwa mbali naye.
2. Ni mwanamke ambaye ni form 4 failure, ninamzidi miaka 5, ni Mhaya kwa kabila, anaishi na mama yake na ndugu zake wa kike na kiume; baba yake kafariki mwaka 2021, ananipenda lakini kwake mapenzi ya kusifiwa siyo kipaumbele kikubwa ukitoa masuala ya uvumilivu, upendo wa kuzungumza face to face, hana mambo mengi, huwa ananiambiya changamoto zake zote za kimaisha zikiwemo za kutongozwa na wanaume.