Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,764
- 16,980
Bibie anafungua geti kwa fujo,
Anaenda dukani kwa mangi kununua sumu kwa ajiri ya kujiua
Cha ajabu anasubilia chenchi!
ebwana mkuu heshima za dhati sana kwako. Umenichekesha hadi nimelia. Thanks Bro for making my weekend.Bibie anafungua geti kwa fujo,
Anaenda dukani kwa mangi kununua sumu kwa ajiri ya kujiua
Cha ajabu anasubilia chenchi!
kuna muvi moja niliona ninja linapigwa teke gorofani,wakati wa kuanguka chini likawa linapepesa macho huku na huku lisije kuangukia kwenye mti,likajitupa kwenye tifutifuKituko ambacho nimekutana nacho
juzi kati naangalia zinema zetu azam
tv jamaa ana kumbukia miaka
kumi iliyopita yuko bar anacheza wimbo wa darassa maisha na
muziki jamani? nilizima na main switch kabisa nikaenda kulala...
Kituko ambacho nimekutana nacho
juzi kati naangalia zinema zetu azam
tv jamaa ana kumbukia miaka
kumi iliyopita yuko bar anacheza wimbo wa darassa maisha na
muziki jamani? nilizima na main switch kabisa nikaenda kulala...
Mimi kituko kimoja eti jini anavuka barabara anangalia kulia kushoto tena kulia halafu anavuka.
Kituko kingine ni majambazi eti wanavamia jumba kali huko mbezi beach pekupeku bila viatu. Baadaye nilipeleleza mwenye nyumba aliwakubalia kuekti Kwake lakini kwa masharti ya kutoingia na viatu wasimchafulie nyumba yake.
jambazi anavamia lakin anavua viatu kabla ya kuingia ndani
kuna muvi moja niliona ninja linapigwa teke gorofani,wakati wa kuanguka chini likawa linapepesa macho huku na huku lisije kuangukia kwenye mti,likajitupa kwenye tifutifu