Ni weekend ya heshima kwenye soka

La Quica

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,004
2,311
1. Man City 83'
2. Manchester United 71'
3. Chelsea 67'
4. Liverpool 66'
5. Leicester City 66'
6. West Ham 62'

Bado mechi 1 kwa kila timu!

Fixture ipo hivi
Leicester city Vs tottenham
West ham Vs southampton
Aston villa Vs Chelsea
Liverpool Vs crystal palace

Manchester united na Man city wameshafuzu UEFA

Lakini team nyingine bado zinashindana

6. West Ham alama 62'
7. Tottenham alama 59'
8. Everton alama 59'
9. Arsenal alama 58'
10. Leeds United 56'
11. Aston Villa 52'
  • Kila timu imebakiza mechi 1
  • Nafasi ya 1 mpaka ya 5 zimejaa
  • Kwa Uingereza timu zitazomaliza nafasi ya 1-4 zitafuzu Uefa Champions League!
  • Zitazomaliza 5-6 zitafuzu Uefa Europa League!
  • Atayemaliza nafasi ya Saba atashiriki league mpya iitwayo Uefa Europa Conference League!
  • BINGWA wa ligi hiyo mpya atajihakikishia nafasi ya kucheza Europa league msimu unaofuata unless amemaliza nafasi zitazomruhusu kucheza Uefa Champions League katika Ligi ya nchi yake!

Spain.

'NGOMA NGUMU ' kuichagua Atletico Madrid ama Real Madrid?

iko hivi, Kimsimamo Atletico Madrid Wana alama 83 Baada ya Mechi 37'

Nyuma yao Yupo Real Madrid ambao Wana alama 81' Baada ya Mechi 37' pia.

Atletico Madrid wanamaliza msimu UGENINI wakiivaa Real Valladolid siku ya Mei 22, 2021.

Siku hiyo hiyo muda huo huo Real Madrid watakuwa nyumbani kuwakabili Villarreal. Yes Villarreal ambao watacheza fainali ya Europa dhidi ya Manchester United mnamo Mei 26'

Valladolid wako nafasi ya 19 na alama zao 31'. wameachwa alama 2 na Elche na Huesca, ikimaanisha ushindi kwao utaweza kuwanusuru kubaki la Liga Kama Elche na Huesca watapata matokeo mabaya!

Villarreal wao wapo nafasi ya 7 na alama zao 58' wakizidiwa kwa head to head na Real Betis...lakini pia wakizidiwa alama 1 na Real Sociedad. Hi ikimaanisha ushindi kwao na matokeo mabaya kwa mmoja Kati ya Real Betis ama Real Sociedad yatawapa tiketi ya kucheza Tena Europa league msimu ujao!

Nikufahamishe tu Kama Atletico akidraw Madrid akashinda atakuwa amemkosa Mwali maana Head to Head inambeba Real Madrid!
 
Kweli kazi wikend hii
 
Umeacha Italy kuna vita ya top four kati ya Napoli, Atalanta, Juventus na Ac Milan. Ikiwa imebakia mechi moja tu mwisho.

Atalanta nafasi ya 2 point 78
Ac milan nafasi ya tatu point 76
Napoli nafasi ya nne point 76
Juventus nafasi ya tano point 75.

Mechi ya mwisho inakutanisha wenyewe kwa wenyewe Atalanta vs Ac Milan. Hivyo ni lazima Milan ashinde ili afikishepoint 79 ambao haiwezi fikiwa na Juventus endapo Juventus akishinda dhidi ya Bologna.

Upande wa Atalanta inawabeba H2H dhidi ya Juventus maana moja kashinda na moja katoa sare.
Napoli nae lazima ashinde dhidi ya Verona ili afikishe point 79 point ambazo haziwezi fikiwa na Juventus.
 
Lecister city walishindwa kuwa na jicho LA mwewe kabisa ,wanatolewa top four kimasiara kwa Mara nyingine tenaa
 
Ila bora iwe hivyo maana wenye kuonyesha mechi watapata hasara Leicester wakiingia UEFA.
 
Umeacha Italy kuna vita ya top four kati ya Napoli, Atalanta, Juventus na Ac Milan. Ikiwa imebakia mechi moja tu mwisho.

Atalanta nafasi ya 2 point 78
Ac milan nafasi ya tatu point 76
Napoli nafasi ya nne point 76
Juventus nafasi ya tano point 75.

Mechi ya mwisho inakutanisha wenyewe kwa wenyewe Atalanta vs Ac Milan. Hivyo ni lazima Milan ashinde ili afikishepoint 79 ambao haiwezi fikiwa na Juventus endapo Juventus akishinda dhidi ya Bologna.

Upande wa Atalanta inawabeba H2H dhidi ya Juventus maana moja kashinda na moja katoa sare.
Napoli nae lazima ashinde dhidi ya Verona ili afikishe point 79 point ambazo haziwezi fikiwa na Juventus.
Noma nako. League za msimu huu zimekuwa za moto sana.
 
1. Man City 83'
2. Manchester United 71'
3. Chelsea 67'
4. Liverpool 66'
5. Leicester City 66'
6. West Ham 62'

Bado mechi 1 kwa kila timu!

Fixture ipo hivi
Leicester city Vs tottenham
West ham Vs southampton
Aston villa Vs Chelsea
Liverpool Vs crystal palace

Manchester united na Man city wameshafuzu UEFA

Lakini team nyingine bado zinashindana

6. West Ham alama 62'
7. Tottenham alama 59'
8. Everton alama 59'
9. Arsenal alama 58'
10. Leeds United 56'
11. Aston Villa 52'
  • Kila timu imebakiza mechi 1
  • Nafasi ya 1 mpaka ya 5 zimejaa
  • Kwa Uingereza timu zitazomaliza nafasi ya 1-4 zitafuzu Uefa Champions League!
  • Zitazomaliza 5-6 zitafuzu Uefa Europa League!
  • Atayemaliza nafasi ya Saba atashiriki league mpya iitwayo Uefa Europa Conference League!
  • BINGWA wa ligi hiyo mpya atajihakikishia nafasi ya kucheza Europa league msimu unaofuata unless amemaliza nafasi zitazomruhusu kucheza Uefa Champions League katika Ligi ya nchi yake!

Spain.

'NGOMA NGUMU ' kuichagua Atletico Madrid ama Real Madrid?

iko hivi, Kimsimamo Atletico Madrid Wana alama 83 Baada ya Mechi 37'

Nyuma yao Yupo Real Madrid ambao Wana alama 81' Baada ya Mechi 37' pia.

Atletico Madrid wanamaliza msimu UGENINI wakiivaa Real Valladolid siku ya Mei 22, 2021.

Siku hiyo hiyo muda huo huo Real Madrid watakuwa nyumbani kuwakabili Villarreal. Yes Villarreal ambao watacheza fainali ya Europa dhidi ya Manchester United mnamo Mei 26'

Valladolid wako nafasi ya 19 na alama zao 31'. wameachwa alama 2 na Elche na Huesca, ikimaanisha ushindi kwao utaweza kuwanusuru kubaki la Liga Kama Elche na Huesca watapata matokeo mabaya!

Villarreal wao wapo nafasi ya 7 na alama zao 58' wakizidiwa kwa head to head na Real Betis...lakini pia wakizidiwa alama 1 na Real Sociedad. Hi ikimaanisha ushindi kwao na matokeo mabaya kwa mmoja Kati ya Real Betis ama Real Sociedad yatawapa tiketi ya kucheza Tena Europa league msimu ujao!

Nikufahamishe tu Kama Atletico akidraw Madrid akashinda atakuwa amemkosa Mwali maana Head to Head inambeba Real Madrid!
Na Ligue1 hapatoshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom