Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 22,736
- 24,045
Wengi watachafukwa sana dhidi ya mchakato wa uchaguzi utakavyokua unaendeshwa, na zaidi sana watavurugwa zaidi na matokeo ya uchaguzi huo ambao ni wazi utagubigwa na vurugu, fujo na songombingo za kabokamchizi kama zote.
Baadhi ya viongozi waaandamizi wa CHADEMA Taifa watapokelewa kesho kwenye mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma, lakini wengi zaidi watapokelewa kwa nyakati tofauti na viongozi wa CCM, hususani siku ya kumpokea makamu mwenyekiti mpya wa CCM bara, jijini Dar es salaam.🐒
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania